Wanaume mnakwama wapi?

Wanaume mnakwama wapi?

WANAWAKE mnaowanyima unyumba waume zenu mnaakili kweli au vichwa box kama umechoka au unajiskia vibaya unamwambia tu sikuliko kuniambia staki nikiuliza kwanin eti Staki tu kwani lazima ukinikuta nagonoka na mdogo wako au Dada Ako utanilaum
 
Na ww si umpe tuuu
Wanaume siku hizi mmekua mbugila sana,mmekua na uwezo mdogo sana wakuchakata na kupembua mambo kwenye bongo zenu,uwezo wakufikiri kwa wanaume wa africa umepungua sana.

Mwanaume unashindwa kuhandle mambo madogo madogo ya familia yako,au ya girlfrnd wako kosa kidogo tu unakimbilia kwenye mitandao kuomba msaada, hivi mnajielewa kweli ninyi???
Yani mwanaume umening'iniza kende tu huna la ziada unanyimwa unyumba tu ushakimbilia kwenye magrp ya wsp kuomba msaada. Ishu ndogo kama hiyo unashindwa kuimaliza kiume??

Sisi wanawake umbea ni asili yetu hata tukiongea huko kwa mashoga zetu ni kawaida tu,acheni kuiga umbea kutoka kwetu sio lazima tuwe sawa kwenye mambo yote.....mxieeeeeeeeeeeew


Nice wkend

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hainiingi akilini akukosee kijana wako wa kiume na uje hapa utumie wingi wa wanaume utadhani ulikuwa na kundi la wanaume wanaokubandua. Umoja na wingi vilikupita kushoto siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom