asantee ni kweli unachosema, sema tumekremisha mambo kua bila pesa mapenzi hayaendi na eti ikikosekana kunakua na mapenzi yasiyo imara me nakataa kwa nguvu zote kitu cha kwanza unavhopaswa mtu kuangalia unapotafta mwenza ni kua na vigezo vinavyoishi, kwamba je akili yake ikoje, maisha anayaonaje, na mengine ya msingi, haya sjui macho makubwa umbo la kuvutia ni kama mashine itafikia time vita depreciate itakubidi sasa utafte mwengine ukidhi haja zamacho yako, kumbe unasahau ukishampata mwenye vigezo vinavyoishi lazima utampenda the way alivyo anaweza akawa na pesa ukampenda na pesa zake na usimuombe hata senti anaweza akawa hana hata hela ya kukuboost chochote but ukampenda hivo hivo yote n real love namapenzi ya hivi bado yapo sana tuKaribu sana Madame S ukiwa na mrembo aliyekupenda kwa mapenzi na siyo kwa pesa zako basi huyo utamthamini sana kuliko yule ambaye yuko kwa ajili ya mshiko tu.
Zinazozidi wanaume wenzio.Pesa kiasi gani inazungumziwa hapa?
asantee ni kweli unachosema, sema tumekremisha mambo kua bila pesa mapenzi hayaendi na eti ikikosekana kunakua na mapenzi yasiyo imara me nakataa kwa nguvu zote kitu cha kwanza unavhopaswa mtu kuangalia unapotafta mwenza ni kua na vigezo vinavyoishi, kwamba je akili yake ikoje, maisha anayaonaje, na mengine ya msingi, haya sjui macho makubwa umbo la kuvutia ni kama mashine itafikia time vita depreciate itakubidi sasa utafte mwengine ukidhi haja zamacho yako, kumbe unasahau ukishampata mwenye vigezo vinavyoishi lazima utampenda the way alivyo anaweza akawa na pesa ukampenda na pesa zake na usimuombe hata senti anaweza akawa hana hata hela ya kukuboost chochote but ukampenda hivo hivo yote n real love namapenzi ya hivi bado yapo sana tu
Please specifyZinazozidi wanaume wenzio.
Basi anazo chapaa.Ya kula haikosekani mkuu
Eti ni kweli hakuna mapenzi siku hiziAiseee
Ahahahaaaaaani shida kabisa, yaani utahisi ndo nimetoka kwa kungwi kufundishwa mauno
teh teh
Aiseeh hongera sana mkuuBado natumia kijiti cha babu, mwanamke hajii kukumbuka kuniomba hela hata Siku moja,
Nikimuomba mgegeto tuhh, hajui hata kubisha.
Neybright!Aiseeh hongera sana mkuu
AbeeehNeybright!
Wanakuita inbox.Abeeeh
Mwambie akaolewe na benki mkuu.Ahahahaaa wanatabu sana, kuna best yangu mmoja aliniambia yeye akiona mpenzi wake anaanza kufungua wallet ampe pesa basi huwa anapatwa na furaha ya ajabu mno hawezi kuielezea huwa anajikuta anatabasamu la hali ya juu mno hata apewe taarifa ya kusikitisha sura yake haiwezi badilika akili yake yote inazama kwenye wallet yaan anajiskia kusisimka na upendo unaongezeka mara dufu kwa mwenzi wake. Ila asipopewa hela hicho kisirani ni zaidi ya mimba changa.
Mbona yapo sana tuEti ni kweli hakuna mapenzi siku hizi