Wanaume mnajiamini sana aisee

Huu ujumbe ni kama umetulenga akina sisi😀
 
Ukweli mchungu, wanaume wengi hawajijali wala hawathamini afya zao wametanguliza ngono mbele sana
 
Asante Sanaa mkuu 😊
 
Wanaume huwa tunapenda bingili bingili baiyooyoo😎
 
Makasiriko on air 😊
 
Aliekuambia hao wake zetu Wana time na sisi nani!!?
Aliekuambia hai wake zetu Wana muda kutuwaza na kufikiri namna kutufanya TU relax nani!!?

Wanajua kutafuta visa na kuomba hela plus michambo!

Mwanamke unaongea kama cherehani plus mambo ya chibi chini kama jasusi!!

Nakuambia machangudoa ndio watu pekee wenye mapenzi ya dhati Tena ya moyo mkuu kuliko hayo makombora tulioyatunza ndani muda wowote yanalipuka!!

Mwanamme analindwa na mungu TU yeye ndio wa kutuonea huruma na ssio nyinyi visirani plus mtimanyongo!!

Nawaombea Sana machangudoa coz wapo real wanatafuta pesa kuliko nyie mnaotafuta pesa na uwekezaji binafsi Kwa mgongo wa ndoa!!

Unakuta make anajenga Kwa siri huku unaishi nae ndani !huku mtoto mmoja TU kabebesha baba kama watatu Ili apate kampani ya mishe zake!!

mungu wabariki machangudoa na ma baa made na ayalaani manamake yalioolewa kumbe majasiriamali kutumia ndoa!!!
 
1. Ni kweli anayemtetea mwanaume ni Mungu pekee
2. Wanawake wengi wanatuona kwa jicho la UCHUMI TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…