Wanaume mnajiamini sana aisee

tester Dumas the terrible braza maghayo anakupa hi

adriz
 
Naye huyo anayeletewa hajui kama mimi ni jambazi, serial killer....
Ila wanawake mna roho ngumu. Kuna kisa nimekikumbuka... Nlianza mahusiano na mdada fulani tukakutana once kwa sababu ya ubsy wangu, ikapita muda ila tunawasiliana, the 2nd time after months nikamptia usiku twende kwangu anashangaa nampeleka sehemu maporinj mbona aanze kuogopa anatamani afungue mlango wa gari achoropoke akidhan nakwenda kumuua
 

"UNa mke mzuri" - Hapa ndo unaharibu! Mengine yote umesema vizuri!
 
Huyo Mgerasi na mmaindi Sana sijui kapotelea jimbo lipi la Scandinavia
Oya Maghayo vipi au Umechukuliwa msukule na Ayatollah?

adriz
😁😁
Mgerasi ndio Kenge iliyo KuQuote kwenye kichaka chake kipya cha Busu la Kenge

Maghayo is no longer existing, I have Already destroyed him violently .

Akitaka arudi kwenye Umongolian wake au Maghayo nimeweka sharti ajirekodi video akilia kama mbusi Kisha akubali kuwa yeye ni mwehu
 
Kama una mume hakikisha unaparusha haswa kabla ya kusepa
 
Maisha bila Mikasa hayaendi, mambo ya wanaume waachie wanaume wenyewe. Kwa kifupi tuko makini sana tufanya risk analysis. Pia kuna mbinu za kiusalama siwezi kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…