Wanaume mnaelekea wapi na ndoa zenu?

Wanaume mnaelekea wapi na ndoa zenu?

Unaogopa nini jamani[emoji26][emoji26]
Mamy usije ukawa na 40
Bado niko 20's my dear... lakini kwa ambavyo watu wanazungumzia maisha ya ndoa sikuizi napata wasiwasi...maana watu wanashuhudia jinsi wenza wao wanavyobadilika napata wasiwasi na huyu nliyenaye asije akanibadilikia na mimi😌😌
 
Bado niko 20's my dear... lakini kwa ambavyo watu wanazungumzia maisha ya ndoa sikuizi napata wasiwasi...maana watu wanashuhudia jinsi wenza wao wanavyobadilika napata wasiwasi na huyu nliyenaye asije akanibadilikia na mimi[emoji18][emoji18]
Ooh just relax dear until 30's nahisi ndo umri better wa mwanamke kuingia kwa Ndoa maana hakuna rangi utakuwa haujaiona hapa katikati..
 
Habari,

Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.

Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;

1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.

2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.

3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.

4. Uchafu kwa wanaume.

5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.

Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.
Binafsi mengine Sina ila nitapunguza matumizi ya simu.
 
Kivipi mtu awe hana nguvu ila anachepuka?

Ila anaomba nyuma?

Kivipi?
 
Habari,

Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.

Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;

1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.

2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.

3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.

4. Uchafu kwa wanaume.

5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.

Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.
Hao wanawake wote ni vibaka waliotafuta vichaka vya maisha wakavibatiza jina NDOA
 
Harris Kapiga mwenyewe ni shoga anatengeza data base kwa manufaa ajuayo yeye, watakuja kulia hao mbwa wewe subiri wape muda
 
2. unakuta jitu halina nguvu za kiume, trako 3 kaisha afu ndo yuko busy hukonje kuonesha disability yake,

Sasa dada, kidude umekitombeshaa wewe enzi zako.
Umekumbatia mishumaa ya kila aina, halafu unataka Mimi niliyekukuta ukubwani ndio NIKURIDHISHE..!!!

Nitawezana na competition ya mishumaa yote uliyokumbatia.

#YNWA
 
""Wanaume wengi hawana nguvu za kiume""

Sasa 2025DG dada, huyo mwanamke kidude kakitombeshaa wewe enzi zake.
Amekumbatia mishumaa ya kila aina, halafu anataka Mimi niliyemkuta ukubwani ndio NIKAMRIDHISHE..!!!

Nitawezana na competition ya mishumaa yote aliyokumbatia.

#YNWA
 
Huyo haris ana ngufu sa kiwume ?

Unapelekaje kesi ya nyani kwa ngedere šŸ˜‚
 
Habari,

Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.

Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;

1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.

2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.

3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.

4. Uchafu kwa wanaume.

5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.

Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.
1. Usaliti ni ngumu kukwepa wanaume tunatamani mno na vishawishi kibao na kujizuia kwenye Ile kitu inakuwa ngumu maana akili zinaendaga wapi sijui, naweza kusema na kujiendekeza pia. Hapa mtusamehe tu (msilipize lakini tukiwashika kitaumana)

2. Sometimes unataka kuendeleza ila harufu ya samaki. Cooperation hamna mtu kaganda tu yani anasubiri umalize umuondolee uzito.

Ila kikubwa zaidi cha kwanza ndo huwa kina vibe vinavyofata unajilazimisha tu kuondoa lawama, sasa ukikutana na mwanaume don't care ambaye hana wasiwasi kwenda kusemwa hana nguvu za kiume anapiga zake kimoja kamaliza.

3. Simu sio wanaume tu hata wanawake, hii ni addiction iliyokamata wengi

4. Uchafu gani tena jamani si wanawake wanatufulia sisi tunavaa tu, kuoga si lazima tena ukiwa unajua hulali mwenyewe kitandani.

5. Kuomba kinyume na maumbile; hapa kama mwanamke karidhia waendelee tu ila kama hajaridhia ni heri mwanaume aombe tu msamaha na asirudie tena kuomba.

Yote kwa yote msisahau kile kiapo "Kwa shida na raha"

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom