Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,910
Acha kisirani wew dada,kam hujaolewa njoo nikuoe utulie
Huyo hajaolewa [emoji3][emoji3]kajioa sina kisirani mimi tuliaaaaa kijana
Acha kisirani wew dada,kam hujaolewa njoo nikuoe utulie
Habari,
Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.
Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni mwao katika Ndoa. Wengi wao wasichana wenzangu wamekuja na madukuduku yafuatayo;
1. Usaliti umekuwa mkubwa sana.
2. Wanaume wengi hawana nguvu za kiume ila ni visirani na wanaongoza kutoka nje ya Ndoa.
3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.
4. Uchafu kwa wanaume.
5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.
Jamani mapenzi nini kinaendelea katika Ndoa zetu wanaume, mje mseme mnakoelekea.
Hiyo disability.2. unakuta jitu halina nguvu za kiume, trako 3 kaisha afu ndo yuko busy hukonje kuonesha disability yake,
Wamezidi kututisha jamani,, ata mtu akikwambia anataka kukuoa unaanza kuwaza khaa😃😃😅😅[emoji3][emoji3][emoji3]
Wew umeijuaje jinsi ya shetani.Nje ya mada
Hivi ni kwanini shetani hana mke?
Wamezidi kututisha jamani,, ata mtu akikwambia anataka kukuoa unaanza kuwaza khaa[emoji2][emoji2][emoji28][emoji28]
Kwa hiyo lawama sio kwa wanaume tu, hata wadada wanataka kuharibuwa.Ila kuomba nyuma now days hata wadada wenyewe wanapenda na wanataka
eeh kwani kuna anaelazimishwa? na ikitokea umebakwa siku ya kwanza ya pili na ya tatu si unakua umefurahiaKwa hiyo lawama sio kwa wanaume tu, hata wadada wanataka kuharibuwa.
Mbona la kuchepuka huliongelei mkuu?3. Matumizi yaliyokithiri ya simu ya mkononi.
5. Kuomba penzi nyuma ya maumbile.
Hizi mambo mbili hizi zinatumaliza sana. Sijui kwa nini watu wanachapana kinyume namna hii.
Mimi ndo naogopa kabisa yani...bora tu nikae kwanza maana, ukienda Insta wanasema ndoa ngumu, ukija jf ndo kila siku vilio, Facebook nako ndo kama hivyo,, mtaani ndo kabisa,,, yaaaani🤒🤦♀️🤦♀️Yaaani unajikuta unagoma
Kwani watu wanachepuka mkuu?🤣Mbona la kuchepuka huliongelei mkuu?
Uolewe lakini shost umri unaenda usije ukakosa kizazi kikaharibika.[emoji6][emoji6][emoji6]Mimi ndo naogopa kabisa yani...bora tu nikae kwanza maana, ukienda Insta wanasema ndoa ngumu, ukija jf ndo kila siku vilio, Facebook nako ndo kama hivyo,, mtaani ndo kabisa,,, yaaaani[emoji855][emoji2356][emoji2356]
Kwakweli itabidi lakini naogopa 😓😓Uolewe lakini shost umri unaenda usije ukakosa kizazi kikaharibika.[emoji6][emoji6][emoji6]
Muhuni mama yako usinozee babu unijui sikujuiTafuta wahuni wenzako mjadili hizi tabia za wanaume za kihuni, sisi wake zetu hata ku comment ujinga facebook hawafanyi hivyo.
Wewe unafikiri kuna mwanamke timamu aliyeolewa anayeweza thubutu andika hayo malalamiko facebook?
Hao ni loosers, single Mama, na walioharibu maisha, sasa wewe wachukulie serious utaona jinsi gani mwisho wako utakuwa mgumu, achana na wanawakr wa vijiweni.