Binafsi wife ndiehuwa ananisukuma kwa mikono miwili nikachepuke kupitia vijitabia vya kipuuzi alivyonavyo.
Wanawake walioolewa hawana upendo kbs ndani ya nyumba, careless kbs, hawako romantic na waume zao, kiburi, ubabe, kununanuna kifara na kujisahau.