Issue siyo kulala pamoja tu.kuna zaidi ya hapo kama wachangiaji waliopita walivyosema
Hahaaa.kuna mambo ya siri yanaendelea kwenye ndoa zetu tunahitaji neema.
Sikia, unakuta mke anapata Genye mara moja kwa mwezi au wakati mwingine hakuna kabisa.usipomshitua poa tu.hata hiyo mara moja moja inakuwa ya kuvizia vizia kama network ya simu mbali na mnara.vile wakati mwingine inakatika.unavizia kama unawinda ndezi vile.wakati mwingine kukiwa na mawingu ndiyo inapotea kabisa. Sasa wanaume wanaugulia ndani kwa ndani.nadhani pia hii inaweza kuwa moja ya sababu ya kuwa na wajane wengi.
Ukiujaribu kuuliza sababu,unaambiwa siku hizi nachoka sana shughuli