Wanaume mna tatizo gani?

Mabadiriko
 
Tatizo ni vyakula vya sikuhizi mwanaume mzima unashindia chips..usiku pia ugali wa sembe au chips lazima ukojoe kamoja ka pili ni shida unalazimisha uiweke wakati imelala..sikuhizi wanaume wengi ni wateja wa dawa za kuongeza nguvu za kiume
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…