MADEMU WA KIBONGO WANAVYOPISHANAGA NA BAHATI
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja.... [emoji16][emoji16]
Halafu ikifika miaka 38 hajaolewa anaanza kuwasumbua akina Mwakasege, Gwajima, Lusekelo wakuombee upate mume [emoji23][emoji23]wengine huenda kwa shekhe Juma kusafisha nyota huku akisahau kuwa nyota alishaichafua kule juu,ambapo ule muda alioupoteza kule juuu wenzake walitumia chance hiyo wakaolewa [emoji3]huu ni uzwange Jr[emoji23][emoji23][emoji23]