Bora umesema. Ulevi ni tatizo kubwa. Huwa nashangaa inakuwaje mtu mzima na akili zako ulewe mpaka u lose control. Ni ajabu....
Mh...unaonekana wewe ni mnywaji sanaRaha ya pombe ni kulewa... Ni kama kufanya mapenzi tu, usipofika vilele umetiwa shombo tu.., haina maana.
Umeona eh...mi nadhani upole wa wake zao ndio unaowapa viburi hata wanadiriki kurudi asubuhi maana wanajua watawakuta wake zao nyumbani, watafunguliwa milango na hawatagombezwa.Mme anae lewa nakurudi usiku wamanane huyo simme bora nibora mme alafu wanaume wa dizani hii wake zao niwapole sana
karibu Pm bibie nakuahidi kurudi saa kumi na Mbili endapo utakubali Ombi languUmeona eh...mi nadhani upole wa wake zao ndio unaowapa viburi hata wanadiriki kurudi asubuhi maana wanajua watawakuta wake zao nyumbani, watafunguliwa milango na hawatagombezwa.
Hahahahakaribu Pm bibie nakuahidi kurudi saa kumi na Mbili endapo utakubali Ombi langu
wananicheka tenaHahahaha
Pole, utakuwa mumeo mlevi wengine hapa mapema tuko home....