Wanaume mjifunze hapa

Wanaume mjifunze hapa

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
3,407
Reaction score
10,540
Huyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake. Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana.

Nimemaliza.
Screenshot_20220918-130743_1663507177397.jpg
Screenshot_20220918-130743_1663507177397.jpg
 
Huyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake.
Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana.

Nimemaliza.
View attachment 2360750View attachment 2360751
Hata ukimwekea mwanaume limbwata awe anafuata kila maelekezo unayoyatoa kama mtoto wako mwisho wa SIKU roho itakusuta.Utajiona unafanya upumbavu tu.Mwanaume akiishi miaka 20 bila hata kukupandishia sauti hapo Kuna mume au mume mfu .Utaanza kujiuliza HUYU mwanaume wa aina gani.Unarudi umelewa,watoto huwaangalii,pesa UNATUMIA ovyo,humuheshimu ,umechelewa kupika ,Una michepuko, ni mchafuu .Alafu Huyo mwanaume hata asikukemee au kukufokea miaka 20 labda umeolewa na ndondocha au zezeta.
 
Back
Top Bottom