Wanaume mfanye mkeo kama Malaya

Wanaume mfanye mkeo kama Malaya

Si umuroge tu!! mbona sisi tunawaroga bana???? mtu umempenda ahalafu anakuyeyusha mara hivi mara vile mpige limbwata Mahiti!! akae atulie akija kutahamaki ana watoto kumi sasa hapo pumzika wewe! achague aache hili kundi au aende nalo na akilazimisha kwenda

mwambie abebe zigo lake!! ....au mplelekee ghafla! wanao haoooo! jamaa muoaji anaona kundi la wazee wenye ndevu mezani!! tena unawaambia kuleni kila kitu kilicho mbele yenu!! akimpiga Mama yenu msikubali..... mumtie vitasa vya haja halafu rudini Nyumbani kwenu hapa any time! ila kula ni kule tu!!

msikubali mama yenu apigwe sawa jamani!!! halafu mumtangazie ufalme wa fedha huyo baba yenu wa kambo!! tena wa ivo unazaa nae toto dume la kwanza, kama umepiga mashine kabinti ka miaka 15 leo kazae!! mtoto akifika 15, Mama ana 30, huyo bado chuchu za moto,

ebu nambie aende kuolewa huyo na toto zee linaloongoza wadogo zake mindevu hihaa!! muoaji akiona vile lazima astuke tu!! ...atakimbia tu! saa wewe hapo michuzi wape hao madogo!...watumie kwa uhuru!
We binti una mambo kwanza umeolewa ?
 
Mwanamke wewe mridhishe mkojoleshe hata mara saba kwenye usiku mmoja.. atamtafuta mtu ambaye hamkojoleshi tu aone atajisikiaje!!! Daah hivi viumbe ni special sana.. viacheni viamue vyenyewe tu
 
Haya Madude hayanaga shukrani hata ufanyaje.
shika adabu yako mama yako, bibi yako shangazi zako, walio kubeba miezi sita wakakulea, wakakunya kama kimba!! wakakulisha mate yao kwa kukutafunia chakula ukameza mbwa weye nyau kasoro akili leo unawaita ''eti haya madude?? ... ma nini? hayo?

wewe ndo maaana huna hela na utakufa ivoivo kuna dhambi nyingine hazisameheki!!....utashangaa jitu ni teja miaka yote kuumbe laana zinaanziaga hapa!!! ...wewe unadhani huna kasoro!! kwa nini usijirekebishe weye!! laaana i juu yako tu hata ufanyeje!! ....

Tena itakuandama tu... lazima ujifunze kuwaheshimuni wanawake!!! km wanavo heshimiwa huko mbele kwa wenye akili!!! fikiria tu! huyo unae mdaharau ana zaaa Rais!!! Waziri...wafanya biashara wakubwaa!!! Madaktari!! wanao kutibu wajeda!! polisi Mweee!!
Mwanamke wewe mridhishe mkojoleshe hata mara saba kwenye usiku mmoja.. atamtafuta mtu ambaye hamkojoleshi tu aone atajisikiaje!!! Daah hivi viumbe ni special sana.. viacheni viamue vyenyewe tu
 
Back
Top Bottom