Wanaume kwanini hampo romantic?

aggyjay sasa KAMA HAYUPO ROMANTIC, SI WEWE UWE ROMANTIC ILI NA YEYE AKOPI NA KUPESTI? AU LAZIMA AANZE KUWA YEYE ROMANTIC? MWANAMKE ANA NAFAS KUBWA YA KUMBADILISHA MUMEWE KITABIA NA MWENENDO KWA UJUMLA, TUMIA NAFAS YAKO
Wewe mguse uone hata mbele zawatu linabweka tu kama jibwa koko limeokota mfupa, kanda ya ziwa wajita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenivunja mbavu hakika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaha
 
Kwa uzoefu wangu wanawake wanapenda bad boys. Wanaume wanaojua nini cha kusema kwa wakati gani. Wanawake wengi wanapenda kuwa dominated. Choking, spanking, dirty talking zinawapagawisha sana hawa dada zetu. Lakini ukijifanya romantic kama mithun ujue atakuja kukuona boya.
 
tumesikia na tumetii tutahakikisha tunakuwa romantic kwa ajili yenu,
tuna ahidi kuwapenda kama watoto, tutaongea na ninyi kwa upole, tutawadekeza na kuwabembeleza, tutawapa ahadi za uongo kama watoto, tutakuwa tukiwagombeza na kuwapiga kiasi lakini mwishoni tutawapa vizawadi ili mtusamehe... tunaahidi kuwatendea yote hayo kama jukumu letu hilo kwenu, tutakuwa tunajifaharisha mbele za watu kwa kuwa na nyinyi kama tuwapo na watoto wetu, tutakuwa tunawabeba, washika na kuwakumbatia... tutawalisha na kuwaogesha na hata tukiwa tuko faragha na nyie tutawadekeza huku tukiwapa pole nyingi kama mabikira na mkilia tutawafuta machozi...

kama kuna la kuongeza mtukumbushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…