kama nipo available au sipo available inamuhusu nini mkuu? kila mtu si kaenda kwa starehe zake?Sasa bila mtu kuuliza atajuaje kama upo available au sio available ?, Nadhani njia pekee ni kwenda sehemu ambazo watu ni wastaarabu au ukae kwenye meza ndefu peke yako..., huku unaonyesha sura ya kazi...
waluwalu ndo aje? fafanua?Huwa tunaangalia na mwanamke mwenyewe.
Mwanamke waluwalu anafahamika na wenye staha wanafahamika.
Ukiona mwanaume anakuzoea mara ya kwanza kukuona tu, ujue we ni waluwalu.
Pole kwa yanayokukuta kwenye starehe zako.
inatokea mwanamke unamua zako
wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha
uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani
urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as
if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate?
unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe
hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa
kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo
natembea na kiwembe
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
noo nilisema ngoja nimuenjoy na krest soda akanywa kweli? nikastaajabu sanaPole sana huko kwenu mpaka leo mnanunuliana vinjwaji?? na wewe unakahuruma kweli.....sasa kwanini umnunulie jitu lillovaa suruali ulabu???.......wakoloni wananifurahisha kweli unakuta mtu katoka na mke?mume/BF/GF mkifika maeneo ya starehe hamjuani.......
so wewe ukituona ni kugegeda tu sio?
sometimes tunahitaji kuwa peke yetu bwana.mbona nyie hatuwasumbui?Tuvumilie tu dadaangu...hiyo ndio socialization..maisha ya upweke sio mazuri..
Wenyewe wanasema it takes one to know one....
Ila pia usisahau once bitten, twice shy!!