Wanaume kuwa na tabia za kike


Always great to see a mama with brain. They should make you contagious bana. Shalom Mwalimu.
 
kwa uelewa wangu cjawah kutana na hormon za tabia mbya znazohuciana na kuchekacheka kimbeya wala kujisheuasheua,eb nsaidie labd znazalishwa na tezi gan?

Kama unaweza kujiunga jf na hujui hizo tabia basi wewe ndio unayeongelewa hapa. Haya chukua peni na karatasi nikuambie tabia za hawa wasen.ge
 
na mara nyingi ukiwachunguza unakuta hata mavazi yao yana mishkeli.....unakuta kijana wa kiume kavaa nguo imembana mpaka unajiuliza kuwa huwa anaivuaje....

Lakini kwa kauchunguzi kangu binafsi nimegundua kuwa wengi wa hao vijana ni wale wanaokaa kwenye nyumba za urithi na ni wazaliwa wa hapa mjini.....
Kwa kifupi ni watoto wa mama....
 
Mtoto wa mama ni yupi na wababa ni yupi au akili zako fupi zinakwambia waliozaliwa vijijini Ndio wanaume haswaaaa
 
Mtoto wa mama ni yupi na wababa ni yupi au akili zako fupi zinakwambia waliozaliwa vijijini Ndio wanaume haswaaaa
Samahani mkuu mwenye akili ndefu kama nimekukwaza....hayo ni maoni yangu tu mimi mwenye akili fupi....
 
Hawa wanaitwa SISSY. Kuna motivation nyingi sana za usissy.
 
Dah minnajirani yangu japo nimume wa mtu ila matatizo matupu,hana mawazo ya kiume kabisa inawezakutokea shida hapa mtaani usiku akagoma kuamka,akiamshwa anaweza kuchukua nusu saa hadi saa zima hadi kutoka,anaweza akachangia mada za wanawake kwakulalamika kama ye ndio mwanamke ,nirafiki wa familia ila mh!kweli kimfaachomtu chake
 
Kwanza humu kuna marijali tu wenzio wanazungumzia maujuzi waridhishe wake zao we unajifunza ufirauni huo,siku yako ipo kurungunda wewe ,umetuchafulia siku wenzio,kaanze uzi wako wakipumbavu utaunganga na wapumbavu wenzio,tuondokee hapa usitutilie gundu na kutiharibia wanaume wetu
 
Hili tatizo linachochewa haswa na mageuzi ya tamaduni zetu asili katika harakati hizi za kuondoa gender inequity. Mifarakano itokanayo na gender balancing imeleta talaka nyingi na dhana ya mwanamke kumudu malezi kama single parent. Huyu mtoto atakosa baba wa kumuongoza na kumkemea badala yake mama atamlea na kudekeza ( Baba kemea, Mama lea). Tangu kukicha hadi kuchwa mtoto wa kiume anachoona na kusikia ni ladies stuff; kujipodoapodoa, hobbies za kike, kuchekacheka, movies za kidadadada nk. Huyu kijana hana wa kum- emulate na polepole anaji-identify zaidi na dada zake. Utashangaa mtoto hawezi km. kufunga tie au kujua flies yake inatakiwa iangalie kulia au kushoto kwani baba hayupo. Tunashuhudia tulichokipanda.
 
Hana hata usingle parent ,ulimbukeni tu na uvivu wakutaka miteremko ,pia kupoteza hofu ya Mungu,hayo manyoa ulionayo,ilo lindude lianalo ning`inia na izo kengele nani zenye manyoa ,uwiiii unatisha wewe...wanaukutaka wanahakika wamewahi kuuona uso wa shetani,jifikirie kitendo unachokifanya unaona unatendewa haki kweli?kama mtoto wa kiume?lol,unatembea kwaaibu jamii haikutaki kabisa ndo mana majanga hayaishi ,unakuja kuambukiza UTI wanaume wetu,mwanga wee
 
Na wewe ni kambea eeeh? Mume wako ndio anatabia hizo za kike? Je huwa mnaenda nae salon?
 
Nani tena huyo mpendwa lalamaliwato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…