Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
haswaaaaa umenena,kumbe wewe ndo umenielewa nlichomaanisha,,sasa bora yule anafanya comedy analipwa sasa kuna mwingine mtaani huku ni balaa aisee hadi anakera maana akiachia kile kicheko cha haloooooooo hadi mtaa wa kumi wanasikia
Mi nina uhakika ni mwanamke ila sina hizo tabia. Kwa hiyo wanaume na wanawake wenye hizo tabia wana hormone za tabia mbaya tu za kucheka kimbea na kujisheua sheua ingawa sijui kujisheua ndo kufanyaje. Kama huwaelewi ni kwa sababu hamuishi wala hamjakulia ulimwengu unaofanana kwa hiyo waache tu na mambo yao.
kwa kuelewa huo huo elewa hivyo hivyo hapa hapa. usitoe uelewa huo nje ya hii thread.kwa uelewa wangu cjawah kutana na hormon za tabia mbya znazohuciana na kuchekacheka kimbeya wala kujisheuasheua,eb nsaidie labd znazalishwa na tezi gan?
holygrail ni mmojawapoHabari wana jukwaa,
Hivi hii tabia ya mwanaume kufanya mambo ya kike kama kucheka kimbea na kupenda kujisheua sheua kama mwanamke inakuwa ni hulka au mtu anakuwa na hormone za kike?Maana huwa nashindwa kuwaelewa watu wa hivyo.
kwa kuelewa huo huo elewa hivyo hivyo hapa hapa. usitoe uelewa huo nje ya hii thread.
anakuwa analelewa
tena utakuta mwanaume anaangalia tamthiliya tena zile za kifilipino
mimi nakuonea huruma kama utakuwa huna hela nitakutesa bure .. any way nitakutafutaDada kusema kweli mi NAKUPENDAGA sana ila naona aibu kukuambia watu humu ndani watanicheka,Naomba ushauri wako nifanyeje ili niweze kuwa na uhusiona wa faragha na wewe?