Wanaume Kuna muda tunashikwa off target πŸ’€πŸ’€

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,080
Reaction score
20,333
Unakuta uko na Dem wako halafu kumbe haujazijua code.. unakuta mwanamke mkigombana kidogo anakwambia Jaribu unipige uone... Kumbe mwanamke huyo ni zile type zile za "chock me daddy" mara "spit to my face Daddy" mara oh slap me 😩 😩.. yaani vurugu mechi dadeki....huwa tunajifanyaga tunawajua hawa waubavu wetu lakini kumbe hamna kitu🀣🀣🀣🀣... Wamama acha waitwe wa mama....


NB:Kuna wanawake nasikia huwa wanakuwa turned on wakipewa makofi mawili matatu....
Wewe unashangaa umezabua mwanamke kama kumdisplicne afu hatoi hata chozi, kumbe mwezio kule Downtown yupo hoi bin Taabani

Oh Mai gadeπŸ˜†πŸ˜†...tuepushe na hiki kikombe cha siki ya sifongo

View: https://youtu.be/U0CGsw6h60k?si=iEOPy6qVO_VKGwMo
 
Nyimbo imeendana na mukktadha😎 πŸƒ
 
ni mtazamo wako... tunauheshimu
 
Nilisikia tetesi kwamba mapenzi ya Tarime ndio yako hivyo.
 
Mwili ukipata ule mshtuko wa kofi la "kistaarabu" (sio la kutaka kuua mtu!) au kunyongwa kidogo, unazalisha vichocheo vya adrenaline na endorphins. Hivi vitu vikichanganyika, vinatengeneza mzuka wa hatari sana unaomfanya mwanamke asisikie maumivu, bali asikie raha ya ajabu (euphoria). Ndio maana unakuta hatoi hata chozi, badala yake anakuwa hoi bin taabani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…