toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,632
Tujadili hili la Wanaume kulala chumba kimoja na kitanda kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani.
Hizi story zipo sana kitaa sema wengi huwa wanafichiana siri tu.
Wanaume kuishi na kulala chumba kimoja (ghetto) huku wakiwa wamepangaa wamekaa kisela sijui inawezekanaje
Binafsi ni ngumu sana kulala na mtu wa jinsia yangu kitanda kimoja, nikikosa pa kumlaza mgeni bora nilale sebuleni au kama ni chumba kimoja bora nilale tu sakafuni.
Haya mambo ya kulala chumba kimoja kitanda kimoja wanaume kwa wanaume na hilo joto la Dar mtu unalala bila nguo au umevaa kijikaptula tu kwa dunia ya sasa hili ni ngumu sana
Siku ya Kwanza mtalala vizuri au vibaya lakini kadri siku zinavyozidi kwenda kuna mindset mtaanza kuzidevelop kuna saikolojia fulani mtaanza kujengeana mwisho mnaanza kutengeneza hisia za ajabu ajabu.
Hizi tabia wakati mwingine hazitengenezwi kwa mtu kwa na michezo fulani hapana bali ni vile mtu anaanza kukaa na mtu anamuona akilala na kuamka na mazoea mwisho wanajikuta wamo.
Ukiachana na ulevi ambao huchangia tamaa na uchu fulani basi haya mambo ya kulala kitanda kimoja mwanaume kwa mwanaume hupelekea hisia fulani zenye sintofaham
Hili ni tatizo kubwa tu, na case zipo nyingi sana sema tu haya yanaishiaga kuwa siri tu
Sio sahihi kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzako na ndo maana hata gest na hotel haya yanakatazwa.