WANAUME KUBALINI MATOKEO TU

WANAUME KUBALINI MATOKEO TU

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,765
Habari wanajamvi?
Wanaume ni viumbe ambao kati ya starehe zote ila kugegeda ndio namba moja, na ndio maana mwanaume akinyimwa kugegeda huo mtiti wake si wa mchezo, timbwili litatokea nyumba nzima watajua ingawa hawatajua nini chanzo cha ugomvi, ila kwa sisi wataalam tunajua tu hapo jamaa kanyimwa.
Sasa nikija katika mada wanaume wanaongoza sana kutembea na wanawake wengi, mara nyingi mwanaume anaweza kuwa na mke ila anachepuka kwa wanawake zaidi ya mmoja, tena wengine wakisafiri frinedly matches kama kawa. Mwanaume anaweza kuwa na wanawake zaidi ya 10 yla akaona sawa tu.
Ila tatizo linakuja pale akigundua mke/mpenzi wake kagegedwa hata na mwanaume mmoja tu hayo maumivu anayokuwa nayo si ya nchi hii, ataumia sanaa, atajaribu kuvuta hisia hata jinsi gemu lilivyokuwa na hapo ndio uchungu huzidi mara dufu. Hata ikitokea kasemehe itakuwa tu kasemehe mdomoni ila moyoni maumivu yanafukuta chini kwa chini, ndio maana siku mkikosana kidogo tu lazima akumbusshie ya nyuma.
Sasa hebu twende kwa wataalam wa sayansi wanasemaje. Sir Isack Newton katika kanununi ya tatu ya mwendo, nanukuu
Newton third law of motion states that
"action and reaction are equal but in opposite direction"
ie action = reaction inamaana
kugegeda = kugegedewa
kwa hiyo kutokana na Newton unavyozidi kugegeda nje ndio unavyozidi kugegedewa, ukila jicho na huku watu wanakula jicho la mke wako pia , sasa kama utaratibu wa kanununi ukila nako huku wenzio wala uchungu unatoka wapi. Wewe umefaidi na kwako pia watu wana faidi ndio kanuni, kwa hiyo ukiliwa vyako chukulia poa tu kama unavyokula vya wenzako na ukubali tu matokeo
 
Habari wanajamvi?
Wanaume ni viumbe ambao kati ya starehe zote ila kugegeda ndio namba moja, na ndio maana mwanaume akinyimwa kugegeda huo mtiti wake si wa mchezo, timbwili litatokea nyumba nzima watajua ingawa hawatajua nini chanzo cha ugomvi, ila kwa sisi wataalam tunajua tu hapo jamaa kanyimwa.
Sasa nikija katika mada wanaume wanaongoza sana kutembea na wanawake wengi, mara nyingi mwanaume anaweza kuwa na mke ila anachepuka kwa wanawake zaidi ya mmoja, tena wengine wakisafiri frinedly matches kama kawa. Mwanaume anaweza kuwa na wanawake zaidi ya 10 yla akaona sawa tu. Ila tatizo linakuja pale akigundua mke/mpenzi wake kagegedwa hata na mwanaume mmoja tu hayo maumivu anayokuwa nayo si ya nchi hii, ataumia sanaa, atajaribu kuvuta hisia hata jinsi gemu lilivyokuwa na hapo ndio uchungu huzidi mara dufu. Hata ikitokea kasemehe itakuwa tu kasemehe mdomoni ila moyoni maumivu yanafukuta chini kwa chini, ndio maana siku mkikosana kidogo tu lazima akumbusshie ya nyuma. Sasa hebu twende kwa wataalam wa sayansi wanasemaje. Sir Isack Newton katika kanununi ya tatu ya mwendo, nanukuu

Huu ni uchochezi
 
Kwamba ni mwendo Wa kugegeda na kugegedewa tu?jamani tuangalie vyema maandiko yetu yana impacts sana kwa watu,mwingine akisoma hivi ata react vibaya coz anahisi ameshagegedewa
 
Habari wanajamvi?
Wanaume ni viumbe ambao kati ya starehe zote ila kugegeda ndio namba moja, na ndio maana mwanaume akinyimwa kugegeda huo mtiti wake si wa mchezo, timbwili litatokea nyumba nzima watajua ingawa hawatajua nini chanzo cha ugomvi, ila kwa sisi wataalam tunajua tu hapo jamaa kanyimwa.
Sasa nikija katika mada wanaume wanaongoza sana kutembea na wanawake wengi, mara nyingi mwanaume anaweza kuwa na mke ila anachepuka kwa wanawake zaidi ya mmoja, tena wengine wakisafiri frinedly matches kama kawa. Mwanaume anaweza kuwa na wanawake zaidi ya 10 yla akaona sawa tu. Ila tatizo linakuja pale akigundua mke/mpenzi wake kagegedwa hata na mwanaume mmoja tu hayo maumivu anayokuwa nayo si ya nchi hii, ataumia sanaa, atajaribu kuvuta hisia hata jinsi gemu lilivyokuwa na hapo ndio uchungu huzidi mara dufu. Hata ikitokea kasemehe itakuwa tu kasemehe mdomoni ila moyoni maumivu yanafukuta chini kwa chini, ndio maana siku mkikosana kidogo tu lazima akumbusshie ya nyuma. Sasa hebu twende kwa wataalam wa sayansi wanasemaje. Sir Isack Newton katika kanununi ya tatu ya mwendo, nanukuu
Newton third law of motion states that
"action and reaction are equal but in opposite direction"
ie action = reaction inamaana
kugegeda = kugegedewa
kwa hiyo kutokana na Newton unavyozidi kugegeda nje ndio unavyozidi kugegedewa, ukila jicho na huku watu wanakula jicho la mke wako pia , sasa kama utaratibu wa kanununi ukila nako huku wenzio wala uchungu unatoka wapi. Wewe umefaidi na kwako pia watu wana faidi ndio kanuni, kwa hiyo ukiliwa vyako chukulia poa tu kama unavyokula vya wenzako na ukubali tu matokeo
we ni me au ke
 
Haya bhana hapo hapana maswali naona utakuwa umemaliza mkuu mchezo mzm
 
Siyo lazima hiyo kanuni iapply kwa mapenzi
Hata kama hai aply, wewe ukigonga huko sawa ila mkeo akigongwa si sawa? Ndio maana inabidi kanuni iapply maana uchungu kila mtu unampata
 
Habari wanajamvi?
Wanaume ni viumbe ambao kati ya starehe zote ila kugegeda ndio namba moja, na ndio maana mwanaume akinyimwa kugegeda huo mtiti wake si wa mchezo, timbwili litatokea nyumba nzima watajua ingawa hawatajua nini chanzo cha ugomvi, ila kwa sisi wataalam tunajua tu hapo jamaa kanyimwa.
Sasa nikija katika mada wanaume wanaongoza sana kutembea na wanawake wengi, mara nyingi mwanaume anaweza kuwa na mke ila anachepuka kwa wanawake zaidi ya mmoja, tena wengine wakisafiri frinedly matches kama kawa. Mwanaume anaweza kuwa na wanawake zaidi ya 10 yla akaona sawa tu. Ila tatizo linakuja pale akigundua mke/mpenzi wake kagegedwa hata na mwanaume mmoja tu hayo maumivu anayokuwa nayo si ya nchi hii, ataumia sanaa, atajaribu kuvuta hisia hata jinsi gemu lilivyokuwa na hapo ndio uchungu huzidi mara dufu. Hata ikitokea kasemehe itakuwa tu kasemehe mdomoni ila moyoni maumivu yanafukuta chini kwa chini, ndio maana siku mkikosana kidogo tu lazima akumbusshie ya nyuma. Sasa hebu twende kwa wataalam wa sayansi wanasemaje. Sir Isack Newton katika kanununi ya tatu ya mwendo, nanukuu
Newton third law of motion states that
"action and reaction are equal but in opposite direction"
ie action = reaction inamaana
kugegeda = kugegedewa
kwa hiyo kutokana na Newton unavyozidi kugegeda nje ndio unavyozidi kugegedewa, ukila jicho na huku watu wanakula jicho la mke wako pia , sasa kama utaratibu wa kanununi ukila nako huku wenzio wala uchungu unatoka wapi. Wewe umefaidi na kwako pia watu wana faidi ndio kanuni, kwa hiyo ukiliwa vyako chukulia poa tu kama unavyokula vya wenzako na ukubali tu matokeo

Newtons 3rd law of motion states that 'For every action there is an equal and opposite reaction' Nilikuwa nakurekebisha tu hapo katika kuandika sheria/kanuni za watu.
 
Samani sijaelewa marekebishoo yake? Hebu dadavua kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom