Wanaume komeni kututisha

Wanaume tupo wachache tena tulio kamilika, inabidi muwe nanidhamu mtaolewa mkileta za kuleta mtatafunwa nakuachwa daily.
 
Nilikua na nia na wewe uwe waifu, ila kwa siredi hii umejiharibia.
 
Hautishwi ila ndivyo ilivyo, mume atakuoa wewe, nawe utaolewa na mume, sasa asipotaka mume utaolewa na nani? Utakua umejiharibia kwakua bado unasubiri kuolewa kwa hamu Kubwa. Sasa kwa jeuri uliyonayo subiri saaana kuolewa. Mume ni mume nawe utabaki Kuwa mke.
 
mkuu ungemwambia muhusika mwenyewe ingekuwa poa zaidi
 
M
Ndo hapo munapo nichosha, why you guys acts like ur doing us a favor? Ndoa ni makubaliano ya wawili, ss ww una hashuka ooh kaji haribiaa utajuaje kama na yy alikua ana kuchora tu na yuko na ww kwa sababu?
 
Bora hata umesema. Kuna watu dunian wanajiona perfect na wengne wakosaji. Akina kaka, by ur information, hutapata mwanamke mkamilifu kila idara.
Mahusiano Ni uvumiliv, hara hvo, upendo hauhesabu mabaya.
 
Mtoa mada ni wewe ulimpiga yule jamaa 40,000/= akaja kusema umejiharibia?
Hata mie nahc, au yaweza asiwe yeye but imemuudhi sana. Kiukwel hata mie yule jamaa kani bore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…