Wanaume kazi mnayo jamani

Ndoa sio matamanio ya kingono,rekebisha kauli yako!,unatuvunjia heshima tulioa,ndoa inamaana kubwa sana usipotoshe umma!

kazi kuu ya ndoa ni sex tu mengine nayafanya hata nikiwa sina mume
 

Mtoa mada umesema kweli lakin huo uzur kuna wakat una badilika kutokana na sababu nyingi mara nyingi jins mlivyoona cku zinavyozid maumbile yanabadilika ss ikitokea hivyo je na ww unataka mvuto utamuacha?
 
Wwe unaonekana unapenda sana sex,wwe ni mwanamke wa pwani ..eeh!,maana umekariri sex tu,wwe utakuwa mtamu kitandani2 ila kwenye kuplan future ya familia upo shallow!!,sanaaa!

hahhahahah
am lesbian
 
Aliyemwambia wanaume wanakosa wanawake wa kutoka nao out au kujivinjari ni nani? Huo uzi niliuona ila kuna mdau alinifurahisha pale alipo muuliza, wakati anaandika, je aliku hajanywaaaaaaaaaaaa.....
 
Wa aina hiyo mbona tunajishindia daily magori ya kuzid kumbe wewe hao ndiyo first choice dah pole

Ukitoka kijijini na kushuka mjini leo lazima utasumbua wenjeji.
 

Ukijifanya Baunsa mtaani wenyewe utawasikia,heheheheheee halooooo....endelea kuchukua chuma ukawe mlinzi wa Majembe Auction mart.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…