Wanaume kazi mnayo jamani

Ndoa litabaki kuwa tukio lenye kusisimua kama sio kufurahisha ikiwa wanandoa watakuwa wanajua nini hasa maana ya ndoa........
 
mwanamke awe anavutia bana sio unaongozana na mwanamke kama mwanaume mwenzio wote mmekomaa kama mademu wa kenya
 
Ukiwa unapenda mabuno lazima uwe na principle hii! Usiwe na ule moyo wa huyu ndio wa kufa na kuzikana! Utakua na presha! Kua na buno la ukweli mwaka wakwanza wapili mtoto wa tatu akizingua unachapa lapa unatafuta buno lingine matata nalo mchezo huo huo ukikamilisha idadi ya watoto basi unakua Mzee wa miezi mitatu mitatu! Sababu ya kufanya hivo wengi wanawake wazuri wahatulii ndani vishawishi vingi!
 

sasa kuna wengine buno la adabu bt sura zao zimewaparama kama kipande cha sambusa
 

Siku ukioa na ukaja na sample ya experience yako. Utatueleza km unachokisema kina uhalali na ukweli.

Totally disagree with u 100% other beautiful ladies are knives.
 
Siku ukioa na ukaja na sample ya experience yako. Utatueleza km unachokisema kina uhalali na ukweli.

Totally disagree with u 100% other beautiful ladies are knives.

mkuu kwann unaoa
kama kula unakula,unafua,unapanga maisha kama kawa
unaona kwa ajili ya sex so unahitaji upate mwanamke ambae yupo kimitego bhana hata uck ukishtuka unakutana na kitu kimetuna
 

Hapa kuna jambo utakuwa umegomewa ndoa sababu ya tabia wewe si bure yakakutoka hivi....! Good thing is balance for goodness!
 
Tabia ina sehemu yake...lakini mwanamke lazima awe tigeress in bed awe mtundu namaanisha. Ukiwa unapata routine activities kila siku...Kaka unakosa kitu kikubwa maishani..
 

Loadingi😉😉
 
afu sie tukipenda pesa mnatushangaa.......wakati nyie wenyewe mnataka wanawake wazuri......
Jamani sijawahi kumlaumu mwanamke /Wanawake kupenda pesa. Zamani Wanawake walipenda kuolewa na watu mashujaa katika vita, waganga wa kienyeji na watu jasiri ktk jamii. Hii ilikuwa inawahakikishia usalama wao ktk maisha. Ulimwengu wa leo tafsiri ya mtu shujaa au jasiri na mwenye kuhakikisha usalama wa mwanamke ni mtu mwenye PESA, FALANGA AU PAKEE. Endeleeni kupenda wenye pesa na mna haki kwa kufanya hilo.
 
Baba aliniambia ukitaka kuoa mwanamke oa yule ambae ukimwona tu dushe linashtuka sio yule mpaka mpige pedeli ndo safari ianze,tabia tutafundishana wenyewe, hahahhaha.

Usimzingizie baba yako,we oa2 hao ma drama Queen watu tutakumegea kama kawa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…