Wanaume kazi mnayo jamani

Hapo kwenye rangi muhimu sana hilo "A lady in the street, but a FREAK in the bed" , hata Evelyn Salt analijua hili.


 
Last edited by a moderator:
Fifty shades of Mgegedo


Baba aliniambia ukitaka kuoa mwanamke oa yule ambae ukimwona tu dushe linashtuka sio yule mpaka mpige pedeli ndo safari ianze,tabia tutafundishana wenyewe, hahahhaha.
 
Last edited by a moderator:
Baba aliniambia ukitaka kuoa mwanamke oa yule ambae ukimwona tu dushe linashtuka sio yule mpaka mpige pedeli ndo safari ianze,tabia tutafundishana wenyewe, hahahhaha.

sasa kama kila mtu akiangalia na kufata vigezo hivyo je sie tusona mvuto tutaolewa na nani?
 
Duuh, falsafa hii haitofautiani na ya wenzentu, "mwanaume pesa sura tutavumiliana".
 
Tena hao wazuri wakiwekwa ndani., waume zao ndo wa kwanza kucharuka na michepuko huko nje., sasa utashangaa mdada mzuri vile anasalitiwa tena anaechukulia huko pemben ni kikaragos kweli
 
beutful but.. haitoishia mbali kabla ya kuachana na kuachiana watoto, hv mtoa mada unakifikiria lakini unachokiwaza, na ndoa ni zaidi ya matamanio ya kingono
 
mwanamke akiamua kupendeza nakuwa na mvuto anaweza hawajianini hao hatakama ananamba witiri
 

yaani nimechekaaaa ila ulipofika pale "DRESS TO KILL" nimesisimka utadhani naambiwa mim.
ahaaaaaa lazima wahudumu wasema dada umependeza. ahaaaaaa leo weekend... loh.
 
Ha ha ha! Computer ni hardware bana! Software waachie Microsoft... Lazima toto liwe na shep shepu, sura sura, mpaka ukipita naye mahali watu wanageuka... lakini katika yote, kizuri ukubali kula na nduguyo!
 
Tena hao wazuri wakiwekwa ndani., waume zao ndo wa kwanza kucharuka na michepuko huko nje., sasa utashangaa mdada mzuri vile anasalitiwa tena anaechukulia huko pemben ni kikaragos kweli

hawa wenzetu walojaaliwa shappe na sura nzuri huwa wanakawaida ya kujisahau sana
ndo mana wanasalitiwa hata kama wanayo bt still mwanaume anahitaji care
 
beutful but.. haitoishia mbali kabla ya kuachana na kuachiana watoto, hv mtoa mada unakifikiria lakini unachokiwaza, na ndoa ni zaidi ya matamanio ya kingono

Ndoa ni matamanio ya kingono bhana
sa unanioa uniangaie tu

lol
 
na siku ukikuta hilo bunyele linakamatiwa na wengine vumilia tu

ie' utaishia kufumania tu kila siku

yamenikuta

Good...!!!! Umempa ukweli...!!! Wako wanawake kwa ajili ya kuipamba dunia tu na hao huwa hawadumu sana na hawaolewi. Wako wanawake kwa ajili ya kufurahisha waume za watu tu na hao pia hawaolewi. Wako wanawake kwa ajili ya kuolewa tu na hao mara nyingi ni wa kawaida sana. Si wazuri kwa nje lakini kwa ndani ni kama pepo ndogo. Wako wanawake kwa ajili ya kujiuza tu na hawa wako mchanganyiko wa wazuri na wabaya nao pia huongeza uzuri kwa kujipamba kwa gharama zozote. Ukioa mwanamke mzuri sana utatuolea na tutamgonga tu iwe isiwe. Heri kwako ni kuwa mvumilivu daima. Ukioa mwanamke wa kawaida sana utamgonga peke yako ama na shamba boy wako au dereva wako..!!! Haya anapaswa huyu bwana kuyafahamu...!!! Halafu figure inatengenezwa kirahisi sana siku hizi na ina expire date yake. Niliwaza sana nimfuate mrembo mmoja nioe na wanaonitakia mema wakaniambia nitafute kwanza daktari wa magonjwa ya moyo ili awe ananitibia maradhi ya moyo nitakapo oa huyo mrembo. Nikaona duh imekula kwangu na wameniambia live....!!! Tchaooooo.....!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…