Wanaume kazi kwenu(bachelors)!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!

Wanaume kazi kwenu(bachelors)!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!

Uliimiss hiyo date kwa vile hukuwa na hela... Asnam na maandishi yake unamsingizia tu... Hope umeelewa
Ngalikihinja, Naona umekurupuka tu mkuu kupost comment. Pole yako. Sio kila mtu anaewaza hela katika mapenzi. Ishu ilikuwa sio hela. Issue ilikuwa jinsi gani tulivyoenjoy, na kupendana mpaka tumefikia kuoana.
 
Last edited by a moderator:
Unazunguuka weee, hizo ni tafiti za Magharibi huko.
Huku kwetu ni mwendo wa noti. Mwonyeshe hicho na roho yake itapona

Mkubwa umesema vizuri. Kwetu huku watu wanathaminiwa kwa kitu ulichonacho. Kama una gari na pesa, hata kama ungekuwa na domo zege, sura kama ya nyani, utapendwa na akina dada wengi mno. Tena utatongozwa na warembo kweli. Waafrika wengi wanathamini kitu ulichonacho. Kwa kifupi: Africans appreciate things.
 
Halafu na Avatar yako Asnam, kufuata taratibu ulizotoa hapo juu ni kuchelewa. Wengine huhitaji game siku hiyo hiyo, sasa ukisema sijua background, utafanikiwa lini. Hapo ni maneno na vitendo.
 
Back
Top Bottom