Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,439
- 100,731
Mbona nipo muda sana humu
ID nyingine hii Kanungila KarimMbona ID yako inaonyesha umejiunga tarehe 12 mkuu,anyway karibu.hope to learn a lot from you....
Ujue sometimes unamtongoza mwanaume mwenzioDaaaaaah,me hata nikiona ID ya KE humu JF,mambo yanakuwa π₯π₯π₯π₯
Bahati nzuri cjawahi kuaproach any manzi humu ndan.πππUjue sometimes unamtongoza mwanaume mwenzio
Ashukuriwe Sir GOD wa mbinguniBahati nzuri cjawahi kuaproach any manzi humu ndan.πππ
Kwani unateseka?Sasa siri zetu mbona unaziweka hadharani...?
ameeen,ππΏππΏππΏAshukuriwe Sir GOD wa mbinguni
haswa ukiwa na sifa kuu mbili,pesa na urijaliRaha sana kuzaliwa mwanaume.
Swadaktaaahaswa ukiwa na sifa kuu mbili,pesa na urijali