aHata mi nakuunga mkono,Bishanga anaonekana tu!
Funguka japo robo tukusaidie!
Bt Note , sometymes sisi wanaume maeneo mengi tunalimbwatanishwa na they way of conduct from Ladies !
Miziziology siipi big chans.
a
Teh unajua alodungwa limbwata huwa hajijui
Ha ha haaa!!! Pole sana ummu kulthum...Kama wao wamegoma kukupa siri ya mafanikio yao ya kutajwa tajwa kila saa basi mimi nitakupa siri ya hayo mafanikio nayo ni kuwa mnafki...mcheshi...mmbea...mchokozi...na muongea pumba maana ukiongea point watu watakuogopa na wataogopa kubishana na wewe. Kama huamini jaribu hayo niliyokwambia hapo juu na utajionea mwenyewe.
daaaah hapo ummy ndo umenimix na kunichanganya kabisa....
Yaani unauliza shombo ferry ? Au Mwaloni ?
Huyu yuko kwenye coma!
daaaah hapo ummy ndo umenimix na kunichanganya kabisa....
Mh nini tatizo mama?
Libwata au kukolea?
Hebu wataje hao wadada kwa majina full
Unaposema C unamaanisha cacico charminglady CUTE Catherine au nani?
Kwa F mh au FirstLady1 ?
nimefunguka hadi mwisho wng, yaan hii kitu.........aaaah af J Mbona tayari umeshalishwaga na nahii af sie tunakupotezea tu!shituka oooh
Na atakuja hapa kukanusha,mtamuona tu!
@Young_Master my x, hebu nikumbushe ile taarabu ya MANENO YA MKOSAJI ILIIMBWA NA NANI TENA??? za jumapili lakini? chit chaters wazima nyiee?? nimewamisije kha!Ha ha haaa!!! Pole sana ummu kulthum...Kama wao wamegoma kukupa siri ya mafanikio yao ya kutajwa tajwa kila saa basi mimi nitakupa siri ya hayo mafanikio nayo ni kuwa mnafki...mcheshi...mmbea...mchokozi...na muongea pumba maana ukiongea point watu watakuogopa na wataogopa kubishana na wewe. Kama huamini jaribu hayo niliyokwambia hapo juu na utajionea mwenyewe.
Ona sasa!
Mie napotakaga nikumix , hunimikxisishi ! Wengine wanakumix kiulaiynii ! Kama wanapaka slesi siagi eeh ?
Binafsi niko sawa ingawa sio sawachit chaters wazima nyiee?? nimewamisije kha!
@Young_Master my x, hebu nikumbushe ile taarabu ya MANENO YA MKOSAJI ILIIMBWA NA NANI TENA??? za jumapili lakini? chit chaters wazima nyiee?? nimewamisije kha!