Wanaume jameni

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,481
Reaction score
53,342
Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.

Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.

Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.

Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa break fast.

WANAUME KOKOTE MLIKO AGIZENI KTMOTO NA DIVAI NITALIPIA.
 
wanaume shkamooo
 
Kuwa mwanaume ni raha sana. Full maujanja
 
..
Hatariiii sanaaaa mkuu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…