Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Nywele za puani ,,ziliweka kwasababu maalumu ....kwa taarifa nikwamba zile SIO mavuzi au nywele za kwapa.Hivi inakuwaje nyie wanaume hywa hamjiangalii kwenye vioo,,unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje[emoji19][emoji19] mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,
Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,,basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )
Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulia jr hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,,safisheni pua zenu ,masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa
Mzee yusuph aisee usirudie kujirekodi vile umenitia kinyaa mpakq najiuliza huyu Malkia Leyla anaona kawaida tu?
Wanaume mnaudhi sana wengine mpaka masikioni si mfanye wax na mnavyokuja kututongoza kifua mbele na nywele zako puani ptuuuuuuu
Nimemaliza kwa leo kama una pua imetokeza vinywele nyoa mnatutia kichefuchefu wengine bana
Na wewe na mapua yako hayo subiri uzodolewePole sana...ngoja waje
Wewe zitatokaje nje ya pua zinachungulia bana sijasema wanyoe zote wapunguze kule kuchungulia nje ni kinyaaNywele za puani ,,ziliweka kwasababu maalumu ....kwa taarifa nikwamba zile SIO mavuzi au nywele za kwapa.
Sitoshangaa kama kesho utakuja nauzi ukisema....Wanaume kope zenu na nyusi zinatuchefua .....
[emoji103] [emoji103] [emoji103] [emoji103] [emoji103] [emoji103] duuuhNa wewe na mapua yako hayo subiri uzodolewe
Sasa ukiona mtu kwanini usimfate live na kumwambiaHivi inakuwaje nyie wanaume hywa hamjiangalii kwenye vioo,,unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje[emoji19][emoji19] mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,
Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,,basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )
Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulia jr hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,,safisheni pua zenu ,masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa
Mzee yusuph aisee usirudie kujirekodi vile umenitia kinyaa mpakq najiuliza huyu Malkia Leyla anaona kawaida tu?
Wanaume mnaudhi sana wengine mpaka masikioni si mfanye wax na mnavyokuja kututongoza kifua mbele na nywele zako puani ptuuuuuuu
Nimemaliza kwa leo kama una pua imetokeza vinywele nyoa mnatutia kichefuchefu wengine bana
Sasa unadhan hapo atapungaje ??? Au aingize kimashine ??? Au azing'oe ????Wewe zitatokaje nje ya pua zinachungulia bana sijasema wanyoe zote wapunguze kule kuchungulia nje ni kinyaa
Duuuuh we JamAa nomaa!!! Kila thread lazm uwe wa kwanza kukomentiHivi inakuwaje nyie wanaume hywa hamjiangalii kwenye vioo,,unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje[emoji19][emoji19] mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,
Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,,basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )
Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulia jr hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,,safisheni pua zenu ,masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa
Mzee yusuph aisee usirudie kujirekodi vile umenitia kinyaa mpakq najiuliza huyu Malkia Leyla anaona kawaida tu?
Wanaume mnaudhi sana wengine mpaka masikioni si mfanye wax na mnavyokuja kututongoza kifua mbele na nywele zako puani ptuuuuuuu
Nimemaliza kwa leo kama una pua imetokeza vinywele nyoa mnatutia kichefuchefu wengine bana
Pole sana...ngoja waje
MmhDuuuuh we JamAa nomaa!!! Kila thread lazm uwe wa kwanza kukomenti
Nmekuvulia kofiaa!! Ndguu
Nmekuvulia kofiaa!! Ndguu
Wewe zitatokaje nje ya pua zinachungulia bana sijasema wanyoe zote wapunguze kule kuchungulia nje ni kinyaa
Wadad wa siku hizi?Hivi inakuwaje nyie wanaume hywa hamjiangalii kwenye vioo,,unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje[emoji19][emoji19] mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,