Neno la Mungu linawafundisha wanaume kuishi kwa akili na wanawake alafu na wanawake wanatakiwa kuwatii wanaume pia mwanaume amepewa maagizo ya kumpenda mke wake@......
Wanaume wengi wa siku hizi wanaishi na wake zao kwa ubabe,kashifa na nguvu nyingi ndomana mwisho wa siku mambo yaharibika ktk mahusiano yao.
NB:Mungu alimuumbia Adam msaidizi wake Hawa,Leo wanaume wanajichukulia wasaidizi wengi(wanawake)
Ndo mana mwisho wa siku wanasaidiana kumuloga mwanaume @