Wanaume ingieni huku Mara moja

Moniy.... kila kosa huwa lina kuwa na sababu yake... sema kosa au chanzo cha nyie kuonekana vitendea kazi....
 

Acha kuweka watu mafungu kwa mkumbo
Utakacha kubweka majungu kwa fyatu wa mtungo
Parata kuswekwa nundu chatu kwa mdundo
Mkeka wa upatu udugu ufuturu bila mfungo
 
 
Hivi bila kuwepo na mfumo dume mpaka sasa si mgesha tupanda mpaka kichwan. Nasema bila kutumia mfumo dume mnatudharau na hamna heshima kabisa katika familia . So hatuna budi kuwa peleka kimfumo dume
 
Ngoja nitoke kidogo kwa kurejelea maandiko... Toka kuumbwa kwa ulimwengu mpango wa MUNGU ulikuwa safi tu na hajawahi kupata shida yoyote akiwa na mtu mmoja tu duniani yaani ADAMU. Huyu Adamu aliishi muda mrefu (miaka mingi) sana. Na ndiye aliyewapatia majina viumbe vyote vilivyopo duniani. Baadaye akaumua kumuumba mwanamke (HAWA) aka EVE kutoka ubavu wa Adamu. Na hapo ndipo shida ilipoanza hapa duniani. Hakika mateso yote tuliyonayo sasa yaliletwa na mwanamke... Ndio maana siku zote mwanaume hata acha kumlaumu mwanamke. Sio mfumo dume..., hivyo ndivyo ilivyo toka enzi na enzi. Sasa hivi wanawake wanataka kujiinua eti kwa kisingizio cha new technology. Ok, technology ni nzuri lakini wanawake mnazidisha.
 
Na hawataweza kujiinua kama watakavyo kamwe mpaka dunia hii itaisha.hawawezi badilisha mpango wa MUNGU na nguvu zake.MWANAMUME ndo mfano wa MUNGU na nguvu zake.acha waige ya kwenye tamthilia ila watagonga tu mwamba
 
Umenena vyema hapo JabagaM
 
Naona sasa umekua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…