Na huyu sijui kama ndoa yake itafikisha hata miezi sita.Moniccca huishi vituko mwanamke
Hajui kisu anachota kumenyea vitunguu si cha mkate...Na huyu sijui kama ndoa yake itafikisha hata miezi sita.
Shida ya dada Leah!!,imesababishwa na yeye mwenyewe,Kujiona yeye ndo kila mmewe hana sauti,rejea hata hii nyumba ni yangu,sikutaka kuzaa mpaka nimalize masters.Kiufupi mme wake haoni rahaa ya kuoa,sasa mdogo mtu alivyokuja inaonekana alionekana kumpa value shemeji yake(mme wa leah)kuliko hata mke mwenyewe anavyo mvalue,hii ikapelekea hayo yote.Haya rudi ukamuandalie chai mmeo mpya.Habari zenu!
Nimewaita huku ilituzungumze machache yanayowahusu,
Hivi kwann mntufanya sisi kama vitendea kazi vyenu?
Nimejaribu kufuatilia michango yenu ktk threads mbalimbali nimegundua hamuoni thamani yetu kbsa.
Niwakumbushe tu sisi ndiyo dada zenu, mama zenu, shangazi zenu, Bibi zenu na pia watu wa muhimu sana kwenu.
Mungu kutuumba wajinsia ya kike hakuwa namaana kawapa watumwa, bali alifanya vile kukamilisha familia.
Familia haiwezi kuwa kamili kama hakuna mwanamke na mwanaume.
Msijisahau enzi ya mfumo dume imepitwa na wakati, wengi wenu hata Matunzo kwenye familia hamtoi, wake zenu ndo kila lkn bado mkitoka vijiweni hamna jipya zaidi ya kusema wake zenu.
Emu badirikeni. Zingatieni hayo. Haya nende mkaendelee na shughuli zenu.
Mkasa wa leah2 umenifanya niwaandikie haya.
Asante.
Ukitamka neno MWANAUME dunia inatetemeka na MUNGU anatega sikio kusikiliza unataka kusema nini juu ya MWANAUME.%90 ya wanaume tunawatunza ninyi,tunawafundisha na mnatulipa maovu tu kwa kutugeuza ATM,usikivu kwenu umekua mgumu eti kisa mmesoma mnafanya kazi wafanyazo WANAUME,sasa hv mmedanganywa na watu wa Magharibi eti tuwe 50/50 kati yetu na ninyi,nawaapia haitakaa ikatokea mpaka dunia itakwisha,kumbukeni sisi ndo tuliumbwa na ninyi mkatolewa ktk viungo vyetu kipande kidogo mkatengenezwa ili mtuzalie na kutusaidia mahitaji madogomadogo ya nyumbani pindi tukiwa mihangaikoni,hebu rudini ktk uhalisia,acheni kuishi kitamthilia,chunguza mwanamke anaejielewa hata kama amesoma mpaka nyuma ya ubao wa vyuo lakini akikaa nyumbani akamtii mumewe na kutenda majukumu yake angalia atakavyokua na amani ktk ndoa.tatizo lenu mna vitu vya kuigaiga,mambo mnayaonea kwenye tamthilia za kifilipino yale ni maigizo ninyi mnataka kuyaishi,lazima ile kwenu.MWANAUME anaheshimiwa sana na MUNGU trust me.hzi shule mnazopata,vi IST mnavyotembelea na utandawazi ndo jipu lenu.nakuagiza heshimu na tii MWANAUME ule mema ya nchi.msituijie sisi na vigari vyenu vya mikopo ofcn kwenu na kutumwa na ofc kupeleka training fulani kwa watu,unawafundisha WANAUME kwa wanawake ktk ukumbi wanakusikiliza ukitoka hapo kichwa kinakujaa kua hata na nyumbani utaendesha training kwa mumeo,nakwambia utapigwa chini tu na uishie kua unachezewa na kuachwa.we mwanamke umekubali kuolewa alafu eti unaleta tena masharti ya kuzaa mpaka muda fulani,ukileta masharti ya kuzaa tafisili rahisi ni kuna muda ukiwa kitandani utakataa kumpa mumeo unyumba,alafu unadhani nini kitatokea?shauli zenu,mtalalamika mpaka dunia itakwisha msipobadilika.FINISHHabari zenu!
Nimewaita huku ilituzungumze machache yanayowahusu,
Hivi kwann mntufanya sisi kama vitendea kazi vyenu?
Nimejaribu kufuatilia michango yenu ktk threads mbalimbali nimegundua hamuoni thamani yetu kbsa.
Niwakumbushe tu sisi ndiyo dada zenu, mama zenu, shangazi zenu, Bibi zenu na pia watu wa muhimu sana kwenu.
Mungu kutuumba wajinsia ya kike hakuwa namaana kawapa watumwa, bali alifanya vile kukamilisha familia.
Familia haiwezi kuwa kamili kama hakuna mwanamke na mwanaume.
Msijisahau enzi ya mfumo dume imepitwa na wakati, wengi wenu hata Matunzo kwenye familia hamtoi, wake zenu ndo kila lkn bado mkitoka vijiweni hamna jipya zaidi ya kusema wake zenu.
Emu badirikeni. Zingatieni hayo. Haya nende mkaendelee na shughuli zenu.
Mkasa wa leah2 umenifanya niwaandikie haya.
Asante.
Shida ya dada Leah!!,imesababishwa na yeye mwenyewe,Kujiona yeye ndo kila mmewe hana sauti,rejea hata hii nyumba ni yangu,sikutaka kuzaa mpaka nimalize masters.Kiufupi mme wake haoni rahaa ya kuoa,sasa mdogo mtu alivyokuja inaonekana alionekana kumpa value shemeji yake(mme wa leah)kuliko hata mke mwenyewe anavyo mvalue,hii ikapelekea hayo yote.Haya rudi ukamuandalie chai mmeo mpya.
Chief na hapo ndo shida ya huyo mleta uzi anaouzungumzia huyu ilipo.Kisa "ata nyumba tunaishi ni yangu".Ukitamka neno MWANAUME dunia inatetemeka na MUNGU anatega sikio kusikiliza unataka kusema nini juu ya MWANAUME.%90 ya wanaume tunawatunza ninyi,tunawafundisha na mnatulipa maovu tu kwa kutugeuza ATM,usikivu kwenu umekua mgumu eti kisa mmesoma mnafanya kazi wafanyazo WANAUME,sasa hv mmedanganywa na watu wa Magharibi eti tuwe 50/50 kati yetu na ninyi,nawaapia haitakaa ikatokea mpaka dunia itakwisha,kumbukeni sisi ndo tuliumbwa na ninyi mkatolewa ktk viungo vyetu kipande kidogo mkatengenezwa ili mtuzalie na kutusaidia mahitaji madogomadogo ya nyumbani pindi tukiwa mihangaikoni,hebu rudini ktk uhalisia,acheni kuishi kitamthilia,chunguza mwanamke anaejielewa hata kama amesoma mpaka nyuma ya ubao wa vyuo lakini akikaa nyumbani akamtii mumewe na kutenda majukumu yake angalia atakavyokua na amani ktk ndoa.tatizo lenu mna vitu vya kuigaiga,mambo mnayaonea kwenye tamthilia za kifilipino yale ni maigizo ninyi mnataka kuyaishi,lazima ile kwenu.MWANAUME anaheshimiwa sana na MUNGU trust me.hzi shule mnazopata,vi IST mnavyotembelea na utandawazi ndo jipu lenu.nakuagiza heshimu na tii MWANAUME ule mema ya nchi.msituijie sisi na vigari vyenu vya mikopo ofcn kwenu na kutumwa na ofc kupeleka training fulani kwa watu,unawafundisha WANAUME kwa wanawake ktk ukumbi wanakusikiliza ukitoka hapo kichwa kinakujaa kua hata na nyumbani utaendesha training kwa mumeo,nakwambia utapigwa chini tu na uishie kua unachezewa na kuachwa.we mwanamke umekubali kuolewa alafu eti unaleta tena masharti ya kuzaa mpaka muda fulani,ukileta masharti ya kuzaa tafisili rahisi ni kuna muda ukiwa kitandani utakataa kumpa mumeo unyumba,alafu unadhani nini kitatokea?shauli zenu,mtalalamika mpaka dunia itakwisha msipobadilika.FINISH
Shukrani Chief.Wacha ni like kwa sauti
G'taxi, umeongea wee, nikataka nikubararukie lkn ukazid kuongea, ukaongea mpaka povu likakutoka, ukafika mahali ukagusa penyewe taratibu nikawampole, kweli nimetokana na kambavu kamoja tu ka mwanaume, kweli Mungu amempa nafasi kubwa mwanaume, nikaenda mbali zaidi nikajisemesha moyoni mwangu hata Yesu wakati anachagua mitume hakuchagua mwanamke hata mmoja, hata mama yake mwenyewe hakuchaguliwa. Kwahiyo nikaona upo sahihi lkn pamoja na yote bado mwanamke haweze kutokuwa wa thamani kwako. Ukinithamini ntakuthamini..emu basi wathaminini wake zenu kuna jambo haliko sawa jadirini.Ukitamka neno MWANAUME dunia inatetemeka na MUNGU anatega sikio kusikiliza unataka kusema nini juu ya MWANAUME.%90 ya wanaume tunawatunza ninyi,tunawafundisha na mnatulipa maovu tu kwa kutugeuza ATM,usikivu kwenu umekua mgumu eti kisa mmesoma mnafanya kazi wafanyazo WANAUME,sasa hv mmedanganywa na watu wa Magharibi eti tuwe 50/50 kati yetu na ninyi,nawaapia haitakaa ikatokea mpaka dunia itakwisha,kumbukeni sisi ndo tuliumbwa na ninyi mkatolewa ktk viungo vyetu kipande kidogo mkatengenezwa ili mtuzalie na kutusaidia mahitaji madogomadogo ya nyumbani pindi tukiwa mihangaikoni,hebu rudini ktk uhalisia,acheni kuishi kitamthilia,chunguza mwanamke anaejielewa hata kama amesoma mpaka nyuma ya ubao wa vyuo lakini akikaa nyumbani akamtii mumewe na kutenda majukumu yake angalia atakavyokua na amani ktk ndoa.tatizo lenu mna vitu vya kuigaiga,mambo mnayaonea kwenye tamthilia za kifilipino yale ni maigizo ninyi mnataka kuyaishi,lazima ile kwenu.MWANAUME anaheshimiwa sana na MUNGU trust me.hzi shule mnazopata,vi IST mnavyotembelea na utandawazi ndo jipu lenu.nakuagiza heshimu na tii MWANAUME ule mema ya nchi.msituijie sisi na vigari vyenu vya mikopo ofcn kwenu na kutumwa na ofc kupeleka training fulani kwa watu,unawafundisha WANAUME kwa wanawake ktk ukumbi wanakusikiliza ukitoka hapo kichwa kinakujaa kua hata na nyumbani utaendesha training kwa mumeo,nakwambia utapigwa chini tu na uishie kua unachezewa na kuachwa.we mwanamke umekubali kuolewa alafu eti unaleta tena masharti ya kuzaa mpaka muda fulani,ukileta masharti ya kuzaa tafisili rahisi ni kuna muda ukiwa kitandani utakataa kumpa mumeo unyumba,alafu unadhani nini kitatokea?shauli zenu,mtalalamika mpaka dunia itakwisha msipobadilika.FINISH