Wanaume India wameingiwa na nini??????

Wanaume India wameingiwa na nini??????

huyu dawa yake ni kumpotezea tu, ukiona anayejiita mwerevu anaziingilia forums za anaowaita wajinga na ku comment ujue ana matatizo makubwa zaidi....
 
India is a rich compared to Tanzania or any other sub-Saharan African country. In addition, sub-saharan Africans have a lower average IQ than Indians. Besides rape happens in many rich countries.

Your comment about "riches" and "IQs" has nothing to do with my quoted point...if is problem is language, you could just skip my point or at least ask for translation....my point is, whether poor or rich, Indian or Tanzanian or American, high or low IQ, it doesnt matter. any rapist to me ni stupid, ignorant, selfish and has poverty of mind and whatever his countrymates does or does not do about it will not change this fact.
 
huyu manager hukumu yake wangemleta dar usiku wakamuacha pale manzese uwanja wa fisi
 
nilikuwa india mwezi januari nilichokiona kule na kautamaduni kau ka kijingi ka kuwabana watoto wa kike na wa kiume yaani ile full socialization haipo na inakuwa ngumu kuwa na girlfriend hata kwa wanafunzi wa vyuo kwa hii inasababisha wanaume wanapopata nafasi wanakimbilia kubaka. Huwezi amini tumekaa india mwezi mzima lakini tukarudi bilanguro bila.
Wacha mineno ndogo hiyo umeshindwa kuingia kwa danguro kununua za kihindi?kweli we sugu.siku nyingine ukienda sehemu usitafute za majina ,we tafuta za kuulizia bei tu!hizo ndo poa no kujuana.
 
Ile sheria ya kuasi (castrate) inatumika wapi. Naona kama itawafaa sana wanaume wa kihindi kama hawataki kujizuia.
 
Msiende mbali hawa tulio nao Tz si mwaona ustaarabu ilivyo shida.
Mtu mzima na akili zako unaanzaje kubaka ata kama wanawake ni wachache.
Tena wao wana nafuu mdada ndo anatoa mahari kuliko sisi such that hayo matukio yangekuwa mengi kwetu bse vidume lazima wasake ngawila ndo kieleweke.Ila tofauti yao na kwetu kwao kuoa demu lazima awe bikira ila uku kwetu mzigo ata kama umezaa twende kazi.
Hii kitu imeitia aibu India big time
 
Back
Top Bottom