Wanaume huwa mnakosea hapa!

Haka ka kitabu kangenogesha zaid huu uzi
 
Huu ni wakati wa kuishi kama mashetani alishasema mkulu......mke akiwa na vyupi 3,viatu 2pairs,dera 2 inatosha,zaidi ya hapo ni kwenda kinyume na sera ya sasa ya bana matumiz ukizingatia na posho ziko ICU
 
 
Nakuja naona unaanza ule utani wako
 
hapo sawa maa...
 
Mnaficha ficha tu. ...hao wenzetu wana mapungufu upstairs.

Mtu akuweke mjini akulipie bills matibabu yako....alafu uje usifiwe na muuza genge na kukuongeza tembele alafu unampa. ..eti ana care

Mkapimwe aisee
 
Ukikamilisha hayo mambo yote utakuwa chizi
 
Haya yoote maneno tu.

Mkeo au hata mpenzi wako mpe hela pia mpige mashine vizuri basi.
 
Mnaficha ficha tu. ...hao wenzetu wana mapungufu upstairs.

Mtu akuweke mjini akulipie bills matibabu yako....alafu uje usifiwe na muuza genge na kukuongeza tembele alafu unampa. ..eti ana care

Mkapimwe aisee

Halafu..kwani anayetombwa ni nani?

Kama yeye anaona fahari kwenda kutombwa tombwa na aende tu.

Who cares!
 
Mapenzi hayatabiriki mkuu achana nayo kabsaa fanya mishe nyingine hakuna Dr. wa Mapenzi
 
Wameshakuelewa ni utekelezaji tuu sasa
 
Yaani wakiongelewa wanawake in a good way lazima iwaume!!
Madhaifu madhaifu madhaifu!! As if nyie mmekamilika.

Chriss mbona huongelea pande zote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…