Wanaume huu ni ukatili

Sihalalishi hili
but deep down unaweza kukuta huyo baba anajua kabisa huyo binti sio damu yake

unless mtu awe na serious mental issue ndo anaweza kumbaka binti wa damu yake kabisa

ingawa kubaka ni kubaka still....

Amesema Huyo mtoto si wake ila kutokana na mila za kikurya ni wa mumewe,maana alivyotoka gerezani ndo kamkuta huyo mtoto.
 
Duh!! Inasikitisha sana, Pole yake sana binti kuna baadhi ya binadamu ni majanga kabisa .
 
Sheria za Tanzania. Ni ajabu. Hao police na huyo baba wote vichaaa. Km sheria ingesimamiwa. Tusingefika hapo kote.
 
Yap huyo binti sio mtoto wa huyo mwanaume. ... ingawa anaanzaje kumwingilia mtoto alomlea kama mwanae????


Sihalalishi hili
but deep down unaweza kukuta huyo baba anajua kabisa huyo binti sio damu yake

unless mtu awe na serious mental issue ndo anaweza kumbaka binti wa damu yake kabisa

ingawa kubaka ni kubaka still....

Very sad......
 
Sihalalishi hili
but deep down unaweza kukuta huyo baba anajua kabisa huyo binti sio damu yake

unless mtu awe na serious mental issue ndo anaweza kumbaka binti wa damu yake kabisa

ingawa kubaka ni kubaka still....
hili ndilo sababu haswaa!anaona mkwe anampa papuchi ok!Huyu sio mwanae, hana damu yake ila ya mkewe so anaweza kula papuchi yake kama mkewe anavyompa!All in all ubakaji ni ubakaji tu, angepewa kwa hiyari ingekuwa kesi nyingine yenye sababu nyingine
 
Haya wanaume wa Kanda ya ziwa toka mkoa wa Mara hiki ndo kitu mnachoweza kufanya?Yaani mnakula mikate mizima miwili na chai chupa nzima ili mkatumie hizo nguvu kubaka watoto wa watu?!.Yaani mna miili mikubwa lakini akili ya kupambanua mambo hamna na kazi yenu ni kuonea wanawake tu!.Kweli kanda ya ziwa hasara.
Jamaa anastahili kifungo cha maisha huyo na kazi nzito.
 
Masikini binti wa watu sasa amekimbilia wapi . Najiuliza tu hivi wababa type hii ni vichaa au wana shida gani hasa , yaani limtu limekua kama limnyama hakuna huruma hata kidogo ,eee Mungu tunaomba umsaidie huyo binti . Watoto wanaofanyiwa vitendo vya namna hii matokeo yake wakikua wanafanya ukatili wa ajabu kwa sababu ya uchungu ulio mioyoni mwao.
 
No anasema alibaka wakati alishamuoa akafungwa...' sasa mama nae anavumilia tu

Sio anavumilia tuu! Anaamini katka mila zao....ndo maana bado yupo...na ataendelea kuwepo mpaka mumewe afe. ANAJUA NIN KITAMTOKEA AKIONEKANA NA MWINGINE. Chezeya Tarime weye!!!!!
 
Mbona wanawake wanaobaka vitoto huko mitaani hawatangazwi au huo nao sio ukatili kwa kuwa mwanamke anadumbukizwa na mwanaume ana dumbukiza....????
 
Khantwe usiseme hivyo binadamu tumetofautiana fikra na utashi hivyo si kila mwanaume Anatabia hii

Hata mimi sijasema kila mwanaume......ofcoz baba yangu hayuko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…