Uwambiwe nakupenda ili Uanze kujishongondoa.NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs
Toria hivi unajua kutongoza nako ni kipaji?
Bora tulivyokua tunaaprochiwa zamani , ilikua heshima mbele tena hata wasio na adabu ilibidi wajitahidi ili mradi wampate mrembo . Ilikua nzuri sana maana walivyokua na maneno mazuri hata kama unadanganywa ilikua ngumu kujua. Poleni sana wakileo
kutokana na mazingira tuliyonayo, lazima tusahau kutongoza na lazima tutumie maneno hayo... sababu kubwa wadada wengi eti maji maramoja-maharagwe ya mbeya!
kwanini utumie nguvu, ukianza oh! mimi nakuota usiku, oh! nikinywa maji nakuona! atakwambia acha longolongo sema shida yako au sema unashilingi ngapi!
sasa ya nini shika mkono chinja...!
Salam mbele kwa wakubwa na wadogo
Tafakuri yangu leo ni kwenye hiki kitabia kilicho common sana kwa wanaume wa zis days
Kuna baadhi ya vijimameno wanavyotumiaga wakiwa wanaaproach vinakera sana maana hayana tafsida na yamejaa utratra mtupu pia kwa maneno hayo kujua nia ya kidume fekelo au orijinali ni ngumu wajameni
Mara mia kauli kama hizi zitumiwe na watu ambao ni wapenzi tayari kidogo utata haupo lakin ndio kwanza unaaproach na hujakubaliwa unaanza kuchomekea maneno kama haya..
1. Nakutaka
2. Nakutamani
3. Naomba msaada nimezidiwa
4. Nna hamu kweli na wewe
5. Yaelekea we ni mtamu sana
To mention a few,KE wanaweza kutupia mengine yafananayo na hayo
NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs