Wanaume hujitoa ufahamu au ndio zama za uwazi?!

unajua anti mi nakuzimikia ile mbaya....,

sa ka ushajua mi anti yako ya nini utake kunigegeda......,
 
Na ni bora udanganyike kwa style hii mwisho wa siku utajifariji not your fault maana hukua na doubt na hiyo package nzima ya maneno,yamepangwa yakapangika
Yaani walikua wanasumbukaje . Mtu kakataliwa lkn yumo tu tena wakati mwingine na mvua imemnyeshea. Walikua wanapangilia mistari kwa ustadi sana mpaka ukikumbuka unasikia raha lol
 
mi nahisi medula oblangata zao haziko sawasawa
hahahahahahaha hawana hata tafsida kwenye maneno yao, eti utanipa lini mzigo. Au binti mzuri anaitwa demu wangu huyu huko nyuma thubutu sana sana utaitwa malaika
 
Salam mbele kwa wakubwa na wadogo

Tafakuri yangu leo ni kwenye hiki kitabia kilicho common sana kwa wanaume wa zis days

Kuna baadhi ya vijimameno wanavyotumiaga wakiwa wanaaproach vinakera sana maana hayana tafsida na yamejaa utratra mtupu pia kwa maneno hayo kujua nia ya kidume fekelo au orijinali ni ngumu wajameni

Mara mia kauli kama hizi zitumiwe na watu ambao ni wapenzi tayari kidogo utata haupo lakin ndio kwanza unaaproach na hujakubaliwa unaanza kuchomekea maneno kama haya..

1. Nakutaka
2. Nakutamani
3. Naomba msaada nimezidiwa
4. Nna hamu kweli na wewe
5. Yaelekea we ni mtamu sana

To mention a few,KE wanaweza kutupia mengine yafananayo na hayo

NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs

wewe ni mwanamke kumbe?
 
shida ni kwamba ukianza kutumia tafsida wakati wa kutongoza mademu wa siku hizi utaambiwa yafuatayo;
1.be straight
2.si useme unachotaka sio kuzunguka....
3Ongea wazi hakuna kipya siku hizi.........
4.Sema unachotaka sio kuuma maneno
Kuna haja tena kuzunguka zaidi ya kuwa wazi
 
Salam mbele kwa wakubwa na wadogo

Tafakuri yangu leo ni kwenye hiki kitabia kilicho common sana kwa wanaume wa zis days

Kuna baadhi ya vijimameno wanavyotumiaga wakiwa wanaaproach vinakera sana maana hayana tafsida na yamejaa utratra mtupu pia kwa maneno hayo kujua nia ya kidume fekelo au orijinali ni ngumu wajameni

Mara mia kauli kama hizi zitumiwe na watu ambao ni wapenzi tayari kidogo utata haupo lakin ndio kwanza unaaproach na hujakubaliwa unaanza kuchomekea maneno kama haya..

1. Nakutaka
2. Nakutamani
3. Naomba msaada nimezidiwa
4. Nna hamu kweli na wewe
5. Yaelekea we ni mtamu sana

To mention a few,KE wanaweza kutupia mengine yafananayo na hayo

NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs

sasa wanaotongozwa wamekuambia kuwa hawapendi kuambiwa hivyo? nijuavyo watu wanatongoza in such a way that they win, and may be they are winning sasa tatizo lipo wapi km wana win!
 
Siku hizi ukitongoza unaonekana mshamba,kwa sababu %97 ya wanawake ni hawapendi kutongozwa,zaidi ni kutoa ofa na kuomba mzigo au kumkokota kuelekea machinjioni baaaaasi.
 
Bora tulivyokua tunaaprochiwa zamani , ilikua heshima mbele tena hata wasio na adabu ilibidi wajitahidi ili mradi wampate mrembo . Ilikua nzuri sana maana walivyokua na maneno mazuri hata kama unadanganywa ilikua ngumu kujua. Poleni sana wakileo
.......yalikuwa mambo ya nakuona kwenye glass..
 
hahahaha au dada moyo wangu umekudondokea, huko ilikua kanda ya ziwa lkn dar mtu anamaliza lugha zote tena zenye maneno ya mvuto kiasi kwamba hata hukutaka unajikuta umesema yes.
 
Ya nini nizunguuuuuke kwani nataka kuoa.......Mi namtemea makavua kabisa, "nataka vyake vya kwenye kyupi" basi!
Hapo inabaki juu yake kukubali ama kuchomoa,
 
hahahaha au dada moyo wangu umekudondokea, huko ilikua kanda ya ziwa lkn dar mtu anamaliza lugha zote tena zenye maneno ya mvuto kiasi kwamba hata hukutaka unajikuta umesema yes.

Ha ha ha....au ilikua mambo ya barua zilizo kuwa na maneno matamu....siku hizi simu a mitandao inaharibu pia..?
 
Kweli haya maendeleo yameharibu sana. Ilikua ukiandikiwa barua unairudia rudia kuisoma aisee. Ilikua raha kwa kiasi flani lkn shida ilikua ukicancel appointment inakua tabu namna ya kuwasiliana japokua ilikua poa tu mtu anakusubiri massaaa kadhaa na akiona hutokei basi anaondoka.
 
Back
Top Bottom