Toria
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 1,177
- 699
Salam mbele kwa wakubwa na wadogo
Tafakuri yangu leo ni kwenye hiki kitabia kilicho common sana kwa wanaume wa zis days
Kuna baadhi ya vijimameno wanavyotumiaga wakiwa wanaaproach vinakera sana maana hayana tafsida na yamejaa utratra mtupu pia kwa maneno hayo kujua nia ya kidume fekelo au orijinali ni ngumu wajameni
Mara mia kauli kama hizi zitumiwe na watu ambao ni wapenzi tayari kidogo utata haupo lakin ndio kwanza unaaproach na hujakubaliwa unaanza kuchomekea maneno kama haya..
1. Nakutaka
2. Nakutamani
3. Naomba msaada nimezidiwa
4. Nna hamu kweli na wewe
5. Yaelekea we ni mtamu sana
To mention a few,KE wanaweza kutupia mengine yafananayo na hayo
NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs