Wanaume hujitoa ufahamu au ndio zama za uwazi?!

Toria

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
1,177
699
Salam mbele kwa wakubwa na wadogo

Tafakuri yangu leo ni kwenye hiki kitabia kilicho common sana kwa wanaume wa zis days

Kuna baadhi ya vijimameno wanavyotumiaga wakiwa wanaaproach vinakera sana maana hayana tafsida na yamejaa utratra mtupu pia kwa maneno hayo kujua nia ya kidume fekelo au orijinali ni ngumu wajameni

Mara mia kauli kama hizi zitumiwe na watu ambao ni wapenzi tayari kidogo utata haupo lakin ndio kwanza unaaproach na hujakubaliwa unaanza kuchomekea maneno kama haya..

1. Nakutaka
2. Nakutamani
3. Naomba msaada nimezidiwa
4. Nna hamu kweli na wewe
5. Yaelekea we ni mtamu sana

To mention a few,KE wanaweza kutupia mengine yafananayo na hayo

NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs
 
Bora tulivyokua tunaaprochiwa zamani , ilikua heshima mbele tena hata wasio na adabu ilibidi wajitahidi ili mradi wampate mrembo . Ilikua nzuri sana maana walivyokua na maneno mazuri hata kama unadanganywa ilikua ngumu kujua. Poleni sana wakileo
 
Endeleeni twawasikiliza halafu mkimaliza mtutafutie maneno mbadala!!!!!
 
6. Una macho mazuri.....
7. We mtundu weee .....
8. Leo Umependezaaa.....9. We mtamu ka zabibu kavu.....
 
kutokana na mazingira tuliyonayo, lazima tusahau kutongoza na lazima tutumie maneno hayo... sababu kubwa wadada wengi eti maji maramoja-maharagwe ya mbeya!

kwanini utumie nguvu, ukianza oh! mimi nakuota usiku, oh! nikinywa maji nakuona! atakwambia acha longolongo sema shida yako au sema unashilingi ngapi!
sasa ya nini shika mkono chinja...!
 
NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs
Uwambiwe nakupenda ili Uanze kujishongondoa.
 
Bora tulivyokua tunaaprochiwa zamani , ilikua heshima mbele tena hata wasio na adabu ilibidi wajitahidi ili mradi wampate mrembo . Ilikua nzuri sana maana walivyokua na maneno mazuri hata kama unadanganywa ilikua ngumu kujua. Poleni sana wakileo

Na ni bora udanganyike kwa style hii mwisho wa siku utajifariji not your fault maana hukua na doubt na hiyo package nzima ya maneno,yamepangwa yakapangika
 
Jamani si wamefunguka?

Anakupa live kuwa anakutani kama na wewe umemtamani mnaenda kugonganisha vikojoleo....

Au anakwambia amezidiwa hahahaha umsaidie kwa hiyo kama mwanamke ni shirika la misaada atoe tu msaada fasta...

Kweli uzee mzuri
 
kutokana na mazingira tuliyonayo, lazima tusahau kutongoza na lazima tutumie maneno hayo... sababu kubwa wadada wengi eti maji maramoja-maharagwe ya mbeya!

kwanini utumie nguvu, ukianza oh! mimi nakuota usiku, oh! nikinywa maji nakuona! atakwambia acha longolongo sema shida yako au sema unashilingi ngapi!
sasa ya nini shika mkono chinja...!

Haaaaa ha lakini kuna wengine tunapendaa zile old fashion
 
Salam mbele kwa wakubwa na wadogo

Tafakuri yangu leo ni kwenye hiki kitabia kilicho common sana kwa wanaume wa zis days

Kuna baadhi ya vijimameno wanavyotumiaga wakiwa wanaaproach vinakera sana maana hayana tafsida na yamejaa utratra mtupu pia kwa maneno hayo kujua nia ya kidume fekelo au orijinali ni ngumu wajameni

Mara mia kauli kama hizi zitumiwe na watu ambao ni wapenzi tayari kidogo utata haupo lakin ndio kwanza unaaproach na hujakubaliwa unaanza kuchomekea maneno kama haya..

1. Nakutaka
2. Nakutamani
3. Naomba msaada nimezidiwa
4. Nna hamu kweli na wewe
5. Yaelekea we ni mtamu sana

To mention a few,KE wanaweza kutupia mengine yafananayo na hayo

NB: Men try to approach gently;mfano umenivutia,nakuhitaji makes sense than nakutamani,nakutaka.
Cha ajabu neno nakupenda utalisikia very rarely au usilisikie kbs

Sasa Toria kama sijakupenda nikudanganye? Au ndio ile wanasema usipomdanganya mwanamke humpati?
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom