Wanaume hujali vitu vipya tuu !!

Nikiomba pochi yako utanipa? Si utasema nataka nichunguze na simu yako nione kuna nini?..... Nadhani pochi ya mwanamke ina mengi na some privacy inatakiwa.... hautasema ni mapenzi utasema ninakuchunguza.

Ni kweli mkuu, ingekuwa hizo pochi hazina siri za ajabu basi marais au mabosi wakubwa wanawake wasingekuwa wanabeba pochi zao wenyewe, wengewapa wabebe wasaidizi wao.
 
Nikiomba pochi yako utanipa? Si utasema nataka nichunguze na simu yako nione kuna nini?..... Nadhani pochi ya mwanamke ina mengi na some privacy inatakiwa.... hautasema ni mapenzi utasema ninakuchunguza.

wasiwasi wenu tu.
Kuna mazingira ambayo mwanaume anahitajika kusaidia. Mfano kama mama ana mtoto mchanga na handbag.
Pia mnaogopa macho ya watu. Mi naweza nikakupa unisaidie lakini wewe ukahofu.
 
wasiwasi wenu tu.
Kuna mazingira ambayo mwanaume anahitajika kusaidia. Mfano kama mama ana mtoto mchanga na handbag.
Pia mnaogopa macho ya watu. Mi naweza nikakupa unisaidie lakini wewe ukahofu.

Msaada no problem...., hata mtoto nitabeba, lakini kina data wengi wako radhi hata kama pochi haina kitu sababu inamatch na kiatu basi ataibeba mpaka chooni.

By the way kwenye picha huyo jamaa kabeba chupa sio pochi... Paris Hilton kamwe asingemwachia pochi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom