.
When a man opens a car door for his wife, it's either a new car or a new wife.
Prince Philip, Duke of Edinburgh
.
kama kuna viumbe vinavyo jua kuonyesha vinajali mambo mapya basi ni hivi viumbe wanaume. Ukiwa unaanza urafiki, uchumba etc na mwanaume yoyote utahisi paradiso ya duniani, lakini kadri muda unavyo kwenda au akisha fanikisha azma yake ni habari nyingine.
Unauliza nyani anafanya nini kwenye shamba la mahindi??. Hizo ni mbwembwe za mawindo ama sivyo siku utashindia nyasi.
Ukukimwuliza mwanamke yoyote aliye danganywa na maarifa ya hivi viumbe katika ulaghai ataishia kutoa machozi kwani hakuwahi kufikiria kitu kama hicho kutokea maisha mwake kutokana na ahadi, mapenzi kemukemu yenye matumaini. Lakini ukweli unabakia pale pale, wanaume ni viumbe vya kuto aminiwa.
when a man opens a car door for his wife, it's either a new car or a new wife.
prince philip, duke of edinburgh
Sio kwa kila mtu!
Baeleze hao badungu!
Mchungaji ni usingizi au kilevi hapo kwenye bandugu!?
Ile badungu! "n" ilirukia kwenye glass yangu nimeirudishia sasa ! Baeleze si wote bako vile
Nawaeleza!Mbona Mchungaji anawapenda kondoo wake mwanzo mwisho!
Hapo wanena! Lazima nitakununulia Jo Jo kama zawadi yako ya Xmas
Hapo wanena! Lazima nitakununulia Jo Jo kama zawadi yako ya Xmas
Ofcoz ni kweli kabisa, wanaume ni mashetani wakubwa. Na am not sure kama hupenda kutoka moyoni zaidi ya kile wanacho kiona. MAISHA YANGEKUWA KAMA HAPO KWENYE PICHA TOKA MWANZO WA UHUSIANO HADI KABURI, DUNIANI TUNGEFANYA MAANDAMANO MWISHO WA DUNIA UFUTWE.
the above mentioned are not part of accusationsKwamba hapo kwenye bold unajumlisha, baba yako, mjomba wako, kaka yako nk.
Kwamba hapo kwenye bold unajumlisha, baba yako, mjomba wako, kaka yako nk.