Wanaume, huenda hatutambui thamani yetu?

Hiyo ni nature huwezi ukaielezea kwa akili ya kawaida. We hujiulizi dume la mnyama mfano ng'ombe, mbwa, paka au simba wamepewa uwezo wa kunusa nyege alizonazo jike lakini jike hana uwezo wa kunusa nyege za dume. Hilo jambo anajua aliyetuumba.
 
Semeni ukweli tu kuwa nyie ni wabovu na mnaogopa kuonwa live, mnajua mtadhalilika kwa kuonwa kuwa nyie ni wabaya na hamkidhi vigezo vya hela muitakayo

Mbona wanawake ni wazuri tu mzee wapi wengi
 

Inabd madanguro ya kiume yaanze kufunguliwa
 

Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…