Yah itakuwa movies, maana ukiwa na familia unakuta huwezi tazamavitu unavyopenda. Mimi mfano napenda crimes and investigation toka nimeanza kuishi na familia sitazamitena maana wao hawapendi wanapenda mitamthilia sijui gangaa. Ningekuwa mtu ambaye napenda kwenda kwa watu basi ningekuwa naenda kwa mshikaji check series, lakini mimi si mtu wa hiivyo.Sometimes unaweza kukuta wanabet na kufatilia live score pamoja yaani hapo hata saa saba usiku watafika. Wengine ni addicted kwenye magame so huenda wanacheza games pamoja.
Mimi Nina miaka 35 lakini siku za weekend nashinda home tu na madogo wa 30-23 yrs toka SAA tatu mpaka SAA tano tunalinda mikeka.
Au huenda wanafuatilia season pamoja ambayo hawataki kumiss vipande, si mnajua season ukiifuatilia unakua na alosto!
Huo upuuzi mnaowawazia uondoeni vichwani mwenu.
😂😂😂😂 Jf idumuMumeo anamtumia huyo kijana kama kuwadi wake kutafuta michepuko.
Itakuwa huna nyama ya ulimi, na siyo mtundu kwa bed ndiyo maana mumeo anadanga.
Kama ni urafiki wa maendeleo siyo mbaya lakini kama ni kinyume na hapo ndiyo mbaya.
AbsolutelyHuwa inatokea. Sometimes unakuta kijana yupo matured kiasi kwamba amekutana na huyo brother sasa wamekuwa match kiakili dogo anamtumia huyo brother kama mentor wake na brother anamuona huyo dogo kama protégé wake....
So sioni cha ajabu. Watu wanakuzwa malezi tofauti kuna ambao makuzi yao yanawafanya wanaexperience mambo makubwa sana na majukumu kiasi kwamba akikaa na rika lake wanakuwa wanamfanya anajihisi yupo na watu wasio level yake ya upeo wa kufikiria.
So nothing wrong.
A mentor and his protégé don't spend all time togetherHuwa inatokea. Sometimes unakuta kijana yupo matured kiasi kwamba amekutana na huyo brother sasa wamekuwa match kiakili dogo anamtumia huyo brother kama mentor wake na brother anamuona huyo dogo kama protégé wake....
So sioni cha ajabu. Watu wanakuzwa malezi tofauti kuna ambao makuzi yao yanawafanya wanaexperience mambo makubwa sana na majukumu kiasi kwamba akikaa na rika lake wanakuwa wanamfanya anajihisi yupo na watu wasio level yake ya upeo wa kufikiria.
So nothing wrong.
Wapi?Anna pita
Positive thinking.Huwa inatokea. Sometimes unakuta kijana yupo matured kiasi kwamba amekutana na huyo brother sasa wamekuwa match kiakili dogo anamtumia huyo brother kama mentor wake na brother anamuona huyo dogo kama protégé wake....
So sioni cha ajabu. Watu wanakuzwa malezi tofauti kuna ambao makuzi yao yanawafanya wanaexperience mambo makubwa sana na majukumu kiasi kwamba akikaa na rika lake wanakuwa wanamfanya anajihisi yupo na watu wasio level yake ya upeo wa kufikiria.
So nothing wrong.
Hii ni pointi tena kubwa maana na mimi kuna brother jamaa yangu huwa namfanyia mitikasi kwa wingi tu na yote inasababishwa na mkewe kunyimana nyimana sio diliMumeo anamtumia huyo kijana kama kuwadi wake kutafuta michepuko.
Itakuwa huna nyama ya ulimi, na siyo mtundu kwa bed ndiyo maana mumeo anadanga.