Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,766
Hapo umenena!!! sasa nenda jukwaa la entartainment ukajionee maajabu ya wanaume wa dar!!Mwanaume kulia lia/kuongelea/kulalamika juu ya mapenzi ni dalili za uchoko. Mwanaume kulalamika kuhonga ni uchoko, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga. Mwanaume kufanya birthday party ni uchoko tena siku hizi mnatoa cards na kumwagiana maji kama mademu. Mwanaume kuangalia tamthilia ni uboya. Mwanaume kufuatilia habari za kina Wema/Shilole na zote za udaku ni uchoko. Mwanaume kwenda kuombewa ili ufanikiwe badala ya kukomaa na kujiombea mwenyewe ni uboya pia. Mwanaume kushinda WhatsApp siku nzima kutuma video clips na msg za vichekesho ni utoto. Kushindana picha Instagram/Snapchat na demu wako ni uchoko.
Mambo mengine achieni wanamama nyie komaeni kutafuta pesa.
Sio mdau mkubwa wa MMU ila Imenibidi niandike uzi huu baada ya kukasirishwa na mada zinazotawala siku hizi JF za wanaume kulalamikia mambo ya kijinga kabisa na kuomba ushauri kwa kitu ambacho hata mtoto anaweza jua nini cha kufanya. Lini kibao kiligeuka wanaume wakaanza kulia mapenzi badala ya wanawake maana kila uzi siku hizi ni mijamaa inalia lia tu kiboya, no wonder kuna uhaba wa nguvu za kiume. Smh
Leo wanaume mmepatikana bwana
Teh,usijiaminishe sanaDuh nilijua na ww ni mme!!
Kumbe mrembo!!
Ngoja nikufate PM
Mwanaume kupewa ni UCHOKO.Brazza Kwa Jinsi Ulivyonifurahisha Njoo Hapa Makuti Bar Upewe Mbili Kwa Bill Yangu Na Kitimoto 1/2 Kg Na Ndizi Kadhaa
Hao n wanaume wa DAR, ila huku kwe2 hapana michezo hyo;
[Bint wa darasa la4 huku kwetu = wanaume wawil wa Dar]
[Mwanamama m1 wa MUSOMA/MARA = wanaume7 wa Dar.]
Shemeji wa mwendo kasi ha hah hah haahHa ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
Yaani wewe nae waonekana ni Mule MuleeMwanaume Kufuatilia na Kuchunguza mambo binfasi ya wanaume wenzake na kuja kuyapost Jamiii Forums huo ni Ushoga
Mwanaume kulia lia/kuongelea/kulalamika juu ya mapenzi ni dalili za uchoko. Mwanaume kulalamika kuhonga ni ujinga, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga.
Mwanaume kufanya birthday party ni ujinga tena siku hizi mnatoa cards na kumwagiana maji kama mademu. Mwanaume kuangalia tamthilia ni uboya. Mwanaume kufuatilia habari za kina Wema/Shilole na zote za udaku ni ujinga.
Mwanaume kwenda kuombewa ili ufanikiwe badala ya kukomaa na kujiombea mwenyewe ni uboya pia. Mwanaume kushinda WhatsApp siku nzima kutuma video clips na msg za vichekesho ni utoto. Kushindana picha Instagram/Snapchat na demu wako ni ujinga.
Mambo mengine achieni wanamama nyie komaeni kutafuta pesa.
Sio mdau mkubwa wa MMU ila imenibidi niandike uzi huu baada ya kukasirishwa na mada zinazotawala siku hizi JF za wanaume kulalamikia mambo ya kijinga kabisa na kuomba ushauri kwa kitu ambacho hata mtoto anaweza jua nini cha kufanya. Lini kibao kiligeuka wanaume wakaanza kulia mapenzi badala ya wanawake maana kila uzi siku hizi ni mijamaa inalia lia tu kiboya, no wonder kuna uhaba wa nguvu za kiume.
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
Ha ha ha yani nyie mlikofikia mnasikitisha
Shost angu, best angu kashtakiwa na mme wake amepelekwa polisi kwenye dawati la jinsia eti kamtukana mme wake.... Serious mwanaume na sharubu kama za paka anaenda polisi kumshtaki mke??? Mke kabisa??? Oooh men...
Wanaume mpoooooo.....nimecheka sana asbh hii jmn,mtoa mada asante ujumbe umefika japo ni chungu kumesaawanaume kulalamika kuhonga ni ujinga, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga.