Wanaume, haya mambo si ya kufanya

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
14,226
Reaction score
30,461
Mwanaume kulia lia/kuongelea/kulalamika juu ya mapenzi ni dalili za uchoko. Mwanaume kulalamika kuhonga ni ujinga, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga.

Mwanaume kufanya birthday party ni ujinga tena siku hizi mnatoa cards na kumwagiana maji kama mademu. Mwanaume kuangalia tamthilia ni uboya. Mwanaume kufuatilia habari za kina Wema/Shilole na zote za udaku ni ujinga.

Mwanaume kwenda kuombewa ili ufanikiwe badala ya kukomaa na kujiombea mwenyewe ni uboya pia. Mwanaume kushinda WhatsApp siku nzima kutuma video clips na msg za vichekesho ni utoto. Kushindana picha Instagram/Snapchat na demu wako ni ujinga.

Mambo mengine achieni wanamama nyie komaeni kutafuta pesa.

Sio mdau mkubwa wa MMU ila imenibidi niandike uzi huu baada ya kukasirishwa na mada zinazotawala siku hizi JF za wanaume kulalamikia mambo ya kijinga kabisa na kuomba ushauri kwa kitu ambacho hata mtoto anaweza jua nini cha kufanya. Lini kibao kiligeuka wanaume wakaanza kulia mapenzi badala ya wanawake maana kila uzi siku hizi ni mijamaa inalia lia tu kiboya, no wonder kuna uhaba wa nguvu za kiume.
 

Mbona hata Wewe kwa haya maelezo yako unaonekana pia ni miongoni tu wa " wale wale? "
 
Mwanaume kumtumia msg mshikaji wako huku umeandika MY ni uboya

Mwanamke kuweka x penye s ni uchoko
 
Mie Bwana Sina Utu Wala Haki Sawa Wala Usawa,,,,gaddem Shiti Khanga Kando Ngumi Mkononi,,,,ye Anaongea Kwa Mdomo Mie Naacha Ngumi Zifanye Convo,,,,,,ndio Aende Kushtaki Domestic Violence
 
Mkuu mbona dizaini kama na wewe unalialia tu hapa kama hao wengine unaowasema. Nimeisoma thread yako between lines naona imejaa povu na malalamiko kibao!! Ndio yale mambo ya mbwa kala mbwa au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…