Wanaume hawatabiriki

Mwanaume ni mtu wa surprise siku zote hivyo itakua sio poa akitabirika.

Wanawake wote duniani wanatafuta namna ya kumdominate mwanaume iwe kwa uwezo wake au hata kwa sangoma.

Mwanamke timiza wajibu wako sisi wanaume sio punguani tushinde kuona makuu anayofanya mwanamke kwa mwanaume wake.

Hata neno linasema hakuna Mwenye haki atakayeachwa.
 
MKUU,

NI_PM NAMBA YAKO YA SIMU,
KUNA SUALA YABIDI TUJADILI!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote haya ni matokeo ya kutaka usawa na uzungu zungu kibao.
Unanvalia kimini kisa ninaempenda ni mwembamba ndo nikuache salama !

Mamamgu na bibi zangu sikuwahi waona wana paza sauti kama nyie wa kikomo cha nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure naunga mkono hoja 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwanamke utaenda mbinguni. You see things in a bigger picture, naweza kusema hakika wewe unawajua wanaume.

You said it all mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…