Wanaume hawajui mapenzi

Inavyoonesha alikua ana nyege huyu wakati anauandaa huu uzi si bure
 
Hahahaaa. Hiyo inategemea NTU NA NTU rafiki.

Sababu sidhani kama wanaume wote hawajui mapenzi.
mengi hayajui yote hiyo ni kutokana na nimabishi hayataki kuelewa
 
Aisee wavulana sio watu wazur wana paramia hao
 
Nyie wanawake mpimwe pia tezi dume!kila siku mnalia hamrizishwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…