Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
wanatingisha dushe kwa kubambia
#teamEngland
Badilisha timu ya kushangilia,dhahama zinaanza leo kwenye timu yako
Hivi kumbe huku MMU ndio mnaongeaga vitu vya aina hii????
Hivi kumbe huku MMU ndio mnaongeaga vitu vya aina hii????
MMU zamani 2010 enzi za ma greater thinker. Sasa viuwa vijeshi lowest thinke wamevamia na kwa makusudi kabisa wameamua kujamba humu na hawataki poo!!
I wonder because am new here!!! Lol!!!Wanaongea kichina!
wanatingisha yale makalio yao
Hivi kumbe huku MMU ndio mnaongeaga vitu vya aina hii????
Nashangaa mwanaume anaependa taarabu
ina masengenyo,udaku na umcharuko ila kuna wanaume wanafagilia balaa.
ina masengenyo,udaku na umcharuko ila kuna wanaume wanafagilia balaa.