Wanaume chukueni hii

Wanaume chukueni hii

"Akili za kuambiwa changanya na zako"by Jakaya Mrisho Kikwete


























Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mungu Ibariki Gairo
 
ndugu hawa viumbe hawatabiriki. mwaka wa kwanza utamuona ni malaika, kaa naye miaka 3 atakuwa zaidi ya shetani.

walikuja duniani kimkakati, kamwe usitarajie mbinu ya ndoa fulani unaweza kui-adopt ikazaa matunda kwenye ndoa nyingine.

kukugeuza chambo pale anapoona fursa na mitego yake imenaswa ni jambo dogo sana kama kumeza funda la mate hivyo usijidanganye. hata wachungaji, mashemasi, maaskofu (walio na vibali vya kuoa) peleleza ndoa zao ni fukuto tupu.

kikubwa pambana uokoteze kile kinachopatikana ila usitarajie jipya kwa hao viumbe JAPO SI WOTE.

"1 Petro 3:7
[7]Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
Nmeongeza kitu hapa. Kumbe hawa sio watu ni 'vyombo'. It sounds interesting.
 
Jamani nashangaa sana wanaume kutuchukulia kwa oicha mbaya sana wanawake .ingawa wapo baadhi ! eti mtu anamfananisha mwanamke na shetan..hv unaishije na huyo shetani sasa jaman .khaa
wanawake ni mama zenu acheni kuwaafananisha na shetan jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom