Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mbona kama povu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mbona kama povu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
U 'mzima wewe?[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Fanyeni kazindugu hawa viumbe hawatabiriki. mwaka wa kwanza utamuona ni malaika, kaa naye miaka 3 atakuwa zaidi ya shetani.
walikuja duniani kimkakati, kamwe usitarajie mbinu ya ndoa fulani unaweza kui-adopt ikazaa matunda kwenye ndoa nyingine.
kukugeuza chambo pale anapoona fursa na mitego yake imenaswa ni jambo dogo sana kama kumeza funda la mate hivyo usijidanganye. hata wachungaji, mashemasi, maaskofu (walio na vibali vya kuoa) peleleza ndoa zao ni fukuto tupu.
kikubwa pambana uokoteze kile kinachopatikana ila usitarajie jipya kwa hao viumbe JAPO SI WOTE.
"1 Petro 3:7
[7]Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
Upupu na ideas za kijinga kwa wajinga ndio watazingatia upupu huu.
Aaaaaaah hofu ya nn tena mkuuUkiona umeanza kuwaelewa wanawake basi jua umekaribia kufa....Nina hofu na mleta siredi
Sijambo mimi jamaniU 'mzima wewe?
"asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana" Ikitokea akajiendeleza kielimu au kiuchumi akakuzidi utamuacha?
Wewe unataka kuolewa mkuu au una maanisha nn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona umeanza kuwaelewa wanawake basi jua umekaribia kufa....Nina hofu na mleta siredi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona umeanza kuwaelewa wanawake basi jua umekaribia kufa....Nina hofu na mleta siredi
Wewe ni pacha wangu..!! Mbona umekufa..?[emoji848] hebu cheza nikuone KWANGWARUUU.